Ni jambo la msingi watekaji kufahamika, kukamatwa na kuchukuliwa hatuaHilo si la msingi.muhimu amerudi nyumbani salama bila madhara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni jambo la msingi watekaji kufahamika, kukamatwa na kuchukuliwa hatuaHilo si la msingi.muhimu amerudi nyumbani salama bila madhara
Mara nyingi sana weye unakuwaga mjinga.Sidhani kama leo zimekurudia!
Hili gari tupeni huku simiyu tulipeleke gamboshi tuwaroge watekajiNa gari lilitumika kumtekea, limepatikana likiwa limebadilishwa namba...Mambosasa ndio ametoa habari hiyoView attachment 904288View attachment 904298
Chahali atakuwa aliusoma Mchezo ..Tulikuwa tunaandaliwa Ki Saikolojia.
Roma alilipa ransom? Mbona hajaeleza chochote?Hii inaonyesha familia wamelipa ransom!
Moja ya masharti ya ransom ni kutozungumza kuhusu tukio lote!
Kama atazungumza kuhusu yaliyomsibu mpaka akarudi basi hiyo itaonyesha kuwa hakulipa ransom na hakuna makubaliano.
Hoja iliyopo mbele yetu kwa sasa, Je, kama amelipa ransom, nini kwa sasa nafasi ya matajiri nchini kuhusiana na usalama wao kwa sababu kulipa ransom ni kufungua mlango wa biashara ya kidnapping and ransom nchini kwa matajiri.
Kosa la kulipa ransom baada ya kutekwa ambalo nchi za kusini mwa Afrika kama Afrika Kusini na Msumbiji walilianza kwa matajiri ndilo kwa sasa linazidi kuwatafuta kwa kasi zaidi.
Je, kuna uwezekano na Tanzania tukaelekea ambako nchi za kusini mwa Afrika ziliko kwenye biashara ya kidnapping and ransom?
Hahahaaaaa!.Aisee...amerudije nyumbani sasa??
Mbona jela poa tu. Zakaria yuko jela ndio kwanza kaingiza mzigo wa mabus kumi kutoka spainKuna mambo yanachekesha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikae tu kimya maana Jela si kuzuri.
Karibu uraiani tena Mo
Kwa hiyo ina maana sio polisi waliompataHata mimi nawaza tu hivyo .
Na kwa nini family wameenda kumchukuwa peke yao ?!.
WaTz tuweni makini.
Itakua hujasikiliza vizuri maelezo ya kamandaYan ameachiwa saa tisa du ko huo muda wa saa tisa usiku ametoka nchi jilan akaletwa Tanzania?au alikua humu hum Tz tu wanacheza na akil zetu
Mie nadhani kitendo cha yeye kurudi salama inatoshaTaarifa yake ya kurudi salama ina ukakasi otherwise aseme alienda wapi. Aekeze ni kwa namna gani vyombo vya usalama vimefanya kazi na kumrudisha salama ili iwe funzo kwa wengine.
Karne hii kuwafanya watu wajinga ni ushamba.
Wabongo nuksi sana kwa kuunganisha picha...hamnaga jemaMmmmmmmh baada lile dili la kushinikiza kupewa trilioni mbili kukwama wameona isiwe kesi acha walegeze tu hakuna namna maana hata watanzania walishaanza kushtukia mchezo.
Kakojoe ulaleBrother Mo, kama unanisoma ni hivi
ULIFANYA LA MAANA SANA KUWEKEZA KWENYE SIMBA SPORTS CLUB, WANASIMBA WOTE BILA KUJALI VYAMA VYAO TULIKUWA NYUMA YAKO.
Na laiti usingekuwa mmiliki wa Simba, Watu wasingekujua, Wasingefuatilia kutekwa kwako, Wasingepaza sauti waliyopaza!. Yaani nakueleza wazi brother Mo, Kwa mara ya Kwanza wale jamaa hatukwaelewa kabisaaa Stori na Matango Pori waliyotulisha!
SIMBA NGUVU MOJA!!!
Aibu zimewashuka wanaCCM.Yaani kelele za Lema ziwe msingi wa kupatikana Dewji lakini kelele hizo hizo zisiweze kumleta Ben Saanane? You must be joking!
Nani mwenye uhusiano wa karibu kikazi na kimaisha kati ya Lema na Ben Saanene au Dewji?
Kumbuka Ben Saanane alikuwa mfanyakazi wa CHADEMA
Ulichofanya ni kutoa shukrani ambazo hazina hata ukweli kifikra!
SiyoKwa hiyo ina maana sio polisi waliompata
Mtekaji awezi jichukulia hatua.Ni jambo la msingi watekaji kufahamika, kukamatwa na kuchukuliwa hatua