Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"And the suspects almost dropped him back at Colloseum hotel where they picked him up".
Baada wadau kuhoji ile gari na picha zake za magumashi, wakaona wamebugi, itakuwa aibu kwa jeshi la police, bora wamuachie tu...
Alhamdullah Mo
Ile 1 bilioni tupatie japo vocha ya mb please
Kwa tukio hili imedhihirika CCM hampendani.Kama Ni hivyo Lema si apige Press release nyingine kina Kubenea na Anthony Komu nao wamuachie Ben Sanane
Thubutu, sanasana ataunga juhudiNi kweli kabisa tunamshukuru Mwenye Mungu kwenje jambo hili, ila asipotuambua alikuwa wapi na tukio zima la kutekwa kwake lilikuaje watanzania hatuta mwelewa!
Comment ndefu utafikiri una uhakika na unachosemaHii inaonyesha familia wamelipa ransom!
Moja ya masharti ya ransom ni kutozungumza kuhusu tukio lote!
Kama atazungumza kuhusu yaliyomsibu mpaka akarudi basi hiyo itaonyesha kuwa hakulipa ransom na hakuna makubaliano.
Hoja iliyopo mbele yetu kwa sasa, Je, kama amelipa ransom, nini kwa sasa nafasi ya matajiri nchini kuhusiana na usalama wao kwa sababu kulipa ransom ni kufungua mlango wa biashara ya kidnapping and ransom nchini kwa matajiri.
Kosa la kulipa ransom baada ya kutekwa ambalo nchi za kusini mwa Afrika kama Afrika Kusini na Msumbiji walilianza kwa matajiri ndilo kwa sasa linazidi kuwatafuta kwa kasi zaidi.
Je, kuna uwezekano na Tanzania tukaelekea ambako nchi za kusini mwa Afrika ziliko kwenye biashara ya kidnapping and ransom?
Hivi kuna kosa lolote mtu kuwashukuru police embu tuacheni siasa yaani chuki yako dhidi ya jeshi la police unataka kuwaambukiza wengine uwe na shukrani bwana, wewe usiku umelaka na familia yako police wanakesha kukulinda leo unaishia kuwadharau kisha sababu za kisiasa muogope Mungu mkuu.Kama hatasema kilichomsibu itakuwa ngumu jamii kimuelewa. Hili swala limetoka private kwenda public..., ila kama tweeter ya kwanza anashukuru jeshi la police kwetu tushasoma uelekeo .... Roma style na kujaribu kuimba vionyimbo uchwara na jamii iliyolichukulia tukio kwa uzito ikiachwa na butwaa,
Yes naKapewa sharti la kulisafisha geshi la polisi.
Kuna kutekwa na kujiteka!Roma alilipa ransom? Mbona hajaeleza chochote?
Tunashukuru amerudi salama
Ni ngumu sana kuokota Maganda ya risasi na kutuletea Picha ya Gari iliyomteka Mo siyo mchezo,Kazi ya igipi awamu hii ni ngumu sana.