Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Wamebana wameachia, Jiwe siyo Mtu!.

Namshauri Mo asepe atulie zake huko Brunei au Kisiwa chochote cha Pasifiki ale bata miaka saba ipite kisha arudi tujenge nchi!, yeye bado kijana, kupumzika miaka saba siyo ishu!
true ni ilikuwa ni pigo la karne kama huyu mtu angepotea

jamaa walikuwa wanasoma upepo baada ya kugundua

presha ya watu ipo juu wakamwachia

kweli uwepo wa MUNGU ni mkuu
 
Yaani itakuwa vigumu kwa Mo hata kule kutueleza tu pua za wale wazungu zilikuwaje?
Comm'n Mo, hebu tudokeze kidogo.
Ulikula nini huko, maharage na wali? Uliweza kupata usingizi hata kidogo?
 
Serikali itenge maeneo ya uzunguni sisi tuyaite maeneo yenye ulinzi maalumu ili watu walioko hatarishi waishi huko matajiri maceo mawaziri na mabalozi watu walioko chini ya ulinzi maalumu.
 
Haahhhahha asante Mungu, jiwe kaona kitawaka, isiwe tabu kamachia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…