Mungu ni mkubwa!
Kuna maswali mengi ya kujiuliza, ambayo yanakosa majibu................
Kuna connectiion gani kati ya Press ya Sirro na kuachiwa kwake Mo??
Polisi watwambie Mo amefikaje fikaje nyumbani usiku huo wa manane??
Kwa ulinzi uliokuwepo hapo nyumbani kwa Mo,kama watekaji ndiyo waliomleta, iweje wasikamatwe??
Hiyo ya kumwachia Mo haijatosha, tunataka kuona wale wote waliohusika na unyama huo wanaburuzwa mahakamani kujibu tuhuma za unyama wao
Na kama watekaji hao wasipofikishwa mahakamani, wananchi tutaungaisha dots na kuamini kuwa ni "lazima" serikali ilikuwa inajua alipo Mo!