Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ransom labda bilioni tano hivi, haiwezi kuwa zaidi ya hapoKama ransom yenyewe ni zile Trilion mbili na Asset za Mo kama vile ardhi n.k, ngoja tuwasubiri Forbes wamtoe katika listi ya Mabilionea wanaoongoza Afrika, tutajua zaidi.
Ila kama "wasiojulikana" wamechukua kale kabilion kamoja ka Familia ya Mo hiyo siyo Ransom ni pipi tu!
Wewe endelea kunyonya maziwa ya mama mpaka pale utakapo kuwa mtu mzima mwenye kuchanganua hoja zinazohitaji fikra tunduizi!Mara nyingi sana weye unakuwaga mjinga.Sidhani kama leo zimekurudia!
Ransom.....???Hii inaonyesha familia wamelipa ransom!
Moja ya masharti ya ransom ni kutozungumza kuhusu tukio!
Kama atazungumza kuhusu yaliyomsibu mpaka akarudi basi hiyo itaonyesha kuwa hakulipa ransom.
Mbona Bahresa na Mengi hawajawekeza Simba lakini wanajulikana?Brother Mo, kama unanisoma ni hivi
ULIFANYA LA MAANA SANA KUWEKEZA KWENYE SIMBA SPORTS CLUB, WANASIMBA WOTE BILA KUJALI VYAMA VYAO TULIKUWA NYUMA YAKO.
Na laiti usingekuwa mmiliki wa Simba, Watu wasingekujua, Wasingefuatilia kutekwa kwako, Wasingepaza sauti waliyopaza!. Yaani nakueleza wazi brother Mo, Kwa mara ya Kwanza wale jamaa hatukwaelewa kabisaaa Stori na Matango Pori waliyotulisha!
SIMBA NGUVU MOJA!!!
basi na nansi alipatia kuwa timu yenuBrother Mo, kama unanisoma ni hivi