Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

mleta maada anataka MUONE kuwa kaishukuru CCM
naona L7 bado mpo macho ngoja pakuche tuone Yule slip pay atasemaje naye
 
Kama ransom yenyewe ni zile Trilion mbili na Asset za Mo kama vile ardhi n.k, ngoja tuwasubiri Forbes wamtoe katika listi ya Mabilionea wanaoongoza Afrika, tutajua zaidi.

Ila kama "wasiojulikana" wamechukua kale kabilion kamoja ka Familia ya Mo hiyo siyo Ransom ni pipi tu!
Hatupati hata voucher
 
Akacheck na afya kabisa wasijemuwekea sumu
Wamebana wameachia, Jiwe siyo Mtu!.

Namshauri Mo asepe atulie zake huko Brunei au Kisiwa chochote cha Pasifiki ale bata miaka saba ipite kisha arudi tujenge nchi!, yeye bado kijana, kupumzika miaka saba siyo ishu!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
nipo na popcorn zangu hapa nasubir New episode
yaani hadi rahaaa MKUU
hakutatokea uongzoi kama huu wa matukio Nchi Tz
Nataka nitoe bonge la series nimepata idea ya season 1[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hio bilioni japo voucher tupate. ALHAMDULLAH KWA DUA ZETU
 
Back
Top Bottom