Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,164
- 6,540
MUNGU mkubwa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu,huwa hauna habari wala kitu cha ukweli.Weye huwa ni kaongokaongo hadi unakera.Uzi huu utakupa picha tunavyokuonaga.Badilika au uwe unawadanganya CCM wenzio.Najua CCM hamuupendi ukweli ila ndiyo hivyo sasa.😂😂😂😂😂Wewe mpumbavu unawadanganya mapoyoyo wa wapi? Ufipa au Buguruni?
Bila kusahau SAUTI KUBWANasema tena narudia, bila kelele za Mb. Mh. Lema, Mo Dewji asingelipatikana. Kelele za Lema zimesadia. Ile press ilikuwa na impact kubwa sana. Pia Zito alitweet kuwa Siro anajua alipo Mo. Press ya jana ya Siro na maswali yaliyoibuliwa na hotuba yake yameibua irresistible conclusion kuwa SIRO anajua alio Mo Dewji (by Zito Kabwe)
Yaani eti waliomteka wamrudishe nyumbani wao wenyewe hawaogopi kudakwa na vijana wa Siro?, Au Mo katembea kwa miguu kutoka alipokuwa ametekwa, tena usiku wa manane mpaka nyumbani kwao?
Hahahah inachekesha sana hii tamthiliya ila ukifikiria inasikitisha sana!.
Ukiwa Gangster basi uwe angalau Smart!. Zero in papers translates Zero in missions!!
Sio weird....Weird.
Asubuhi ya leo utaona kuna gazeti litakuwa na hii habariNa pia magazeti ya siku hiyo yanakuwa yameshatoka. Wakiandika siku inayofuata story inakuwa haina nguvu.
Kama yeye aliyetekwa kalishukuru jeshi LA polisi Mimi ni nani hasa mpaka nipinge?.Nimeona unajidanganya!Samahani kwa kukuhamisha mawazo yako "mazuri"!
Wengine wamesha ripYaani kelele za Lema ziwe msingi wa kupatikana Dewji lakini kelele hizo hizo zisiweze kumleta Ben Saanane? You must be joking!
Nani mwenye uhusiano wa karibu kikazi na kimaisha kati ya Lema na Ben Saanene au Dewji?
Kumbuka Ben Saanane alikuwa mfanyakazi wa CHADEMA
Ulichofanya ni kutoa shukrani ambazo hazina hata ukweli kifikra!