Mathias Byabato
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,033
- 723
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumamnyang'anya hati ya kusafiriaDah,lazima atahama Tanzania Huyu.
Hilo si la msingi.muhimu amerudi nyumbani salama bila madharaBila kutuambia alikuwa wapi na ‘alitekwa’ na akina nani watanzania hatuta mwelewa!
Bila kutuambia alikuwa wapi na ‘alitekwa’ na akina nani watanzania hatuta mwelewa!
Mara nyingi sana weye unakuwaga mjinga.Sidhani kama leo zimekurudia!Hii inaonyesha familia wamelipa ransom!
Moja ya masharti ya ransom ni kutozungumza kuhusu tukio!
Kama atazungumza kuhusu yaliyomsibu mpaka akarudi basi hiyo itaonyesha kuwa hakulipa ransom.
Bila kutuambia alikuwa wapi na ‘alitekwa’ na akina nani watanzania hatuta mwelewa!
Na pia magazeti ya siku hiyo yanakuwa yameshatoka. Wakiandika siku inayofuata story inakuwa haina nguvu.Wameona ni bora kumrudisha kwake saa 10 kasoro ya alfajiri,ili wakuda wasimwone katokea wapi,kaletwa na nani ama kaja na gari gani
Kazi bado ipo[emoji3][emoji3]