Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Hatakujibu hilo swali mkuu
 
Acha uongo, waliomchukuwa wanafahamika. Yaleyale ya Roma. Mbona baada ya Polisi kumhoji Roma faili likafungwa badala ya jushika kasi ili kukomesha hayo yasiendelee?
Yule ilikuwa atapatikana jumapili na akapatikana. Huyu tunajuwa alichukuliwa na gari Hilux picha hizi walifika mpaka Kawe, kesho yake huyo!
 
Haha bavicha bwana hivi ni kelele ndio zimemtafuta mpaka akapatikana?

Jeshi la polisi na vyombo vingine vya dola vimedhibitisha weledi wake.

Sio kila jambo mnalilia wachunguzi wa kimataifa.

Chadema mnekuwepo wakati wa vita vya Idd amini si ajabu pia mngeshauri wachunguzi wa kimataifa waje kutusaidia.
 
Nitafurahi sana endapo ataendelea kukaza na kua na msimamo huo huo aliyokua nao hata kama baada ya kuachiliwa...

Hakitoki kitu hapa...


Cc: mahondaw
 
unaipa hongera kwa usanii? Wao wanajua alipokuwepo! Tz imekuwa Nchi ya ajabu Sana sasa hivi tunasemwa vibaya na wenzetu. Ukipita mtaani au mghahawa wanaonifahamu wanauliza maswali ya ajabu!
Wenzenu kina nan?
 
Watekaji walitaka pesa; yaani ukae na mtu siku 7 huku ukijua hutaweza kuzipata? Kukaa na mtu una risk kutiwa mbaroni kwako. Watekaji professional hasa hao wazungu kama tukivyoambiwa hawawezi kifanya kosa kubwa la kiufundi kama hili.

Haya hata hiyo 1billion waliyosema familia watekaji hawakuitaka walau?? Yaani wazungu wasizijali dola laki nne na nusu?

Haya bwana!!
 

Huna mbele wala nyuma mme kwishney walahi
 
Kwa hiyo walimteka karibu na kwa Mama Samia makamu wa raisi wamemuachia karibu na ikulu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ af jiwe unajua sisi sio mazuzu aisee

Mkuu labda Wakati wote alikuwa anakula kiyoyozi hapo Magogon ,,Who know ..
 
Hawez kueleza chochote kuhusu watekaji forget it kama unategemea mo ajitokeze kuzungmzia utekaji wake just sleep
Yeah , ndiyo maana nikasema iwapo yeye mwenyewe hatasema, basi na iwe kimya

Nimemjibu msemajiukweli kwani sasa hivi watu wanataka kuaminisha maneno mengine kama wao ndio Mo. Kuna hadithi zinatungwa, hizo hazitaondoa utata hadi atakaposema mwenyewe

Jambo jema karudi salama, hilo ndilo muhimu
 
Wakati mwingine tuache kumsingizia Mungu.. eti Mungu mwema
Upuuzi wa bashite na kundi lake ndio tumuingize Mungu???
Mo anayo siri nzito sana mtoa taarifa anaongea kwa mashaka kwa kutetemeka maana anatambua ni uongo mtupu
Mambosasa ipo siku utatamani kumuita Mungu naye hatakuitikia. Ninyi watu mnawatesa sana WaTz
Ipo siku tena yaja upesi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…