Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Mpuuzi sana na uvivu wako wako, imbecile walahi
Mtatukana sana lakini wananchi wanajua nani anaehusika na uharamia huu na iko siku mtalipa!! WHAT GOES AROUND COMES AROUND!!
 
Ujinga na aibu iliyopitiliza hii, kwa hili tukio mpaka mtoto mdogo anajua mhusika atakua nani.

Leo hamna na kuongea walahi
Puuuuurreessii confrrrreeenssiii LEEEEMMMMAAA. TIIIIIII AIBU ptuuuuu mate ya uso kwake walahi
 
Mkuu na kushauri hifadhi akili yako kwenye mambo yako muhimu ya kujenga maisha yako na familia yako. Huu ni utoto, utani, ujinga na upumbavu unaendelea kwenye nchi hii.
 
Mi sikubaliani na mambo yake ila tuheshimu katiba ,akae aondoke
Katiba inazungumzia miaka mitano tuu, baada ya hapo kama kulikuwa na mambo ya kidwanza dwanzi kama haya mnapiga chini, fyekelea mbali sukuma kulee!
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu inabidi tuulizie ni pafyum aina gan hyo tuinunue kabsa maana 'wazungu' hawajadakwa bado ili ikitokea chochote tuwe ready kujipulizia.
 
Kwaio wameona wahuni tukipata bilioni tutafaidi wameamua kumrudisha wenyewe au
 
Tunasubiri Press conference ya Godbless Lema aliyotuahidi leo saa nne ili Ben Saanane pia apatikane!

Lazima Lema amshinikize Kubenea akamlete Ben Saanane kwa sababu anajua alipo!
CCM poleni mmeonyesha udhaifu mkubwa sana kwenye tukio hili, press ya Lema haina maana tena kwa sababu ilikuwa purposely kwa ajili kujibu press ya jana ya Sirro.
 
Mchanga wa macho huu, lawama iko nji za nje.
Mungu anawaona lakini.
Ransom kalipa nani?
 
Vijana bangi mnavutiaga chooni au mtoni, kila kitu mnajua na ndio maana mmeishia kuwa mahohehahe maana mnahangaika na msiyoyajua wala kuw na ufaham nayo
Matusi ya nini? Bangi anavuta mama yako, full stop
 
Hakuna aliye juu zaidi ya Mungu
 
bangi mbaya Sana .. punguza mkuu utakuja kupatwa na kichaa bure ... Ina maana hauijui impact ya mo kwenye jamii ni kubwa kiasi gani kuliko ben saa 8 .. !! !?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…