Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Utaona tu maneno watakayokuja kusema!! Mpaka hutoamini, ukwel hauwezi ukasemwa zitakuja propaganda tu
Usishangae akaanza kutoa pongezi kwa ccm kufanikisha kuachiwa kwake. Kama ataleta ujinga baada ya kupiganiwa hivi na watu mbalimbali basi ni bora watu wasusie bidhaa zake kumuonyesha jinsi asivyo na shukrani
 
CCM poleni mmeonyesha udhaifu mkubwa sana kwenye tukio hili, press ya Lema haina maana tena kwa sababu ilikuwa purposely kwa ajili kujibu press ya jana ya Sirro.
Udhaifu ni sehemu ya maisha!

Hata wewe ninaamini una udhaifu!

Ukubwa na udogo wa udhaifu ni debatable kwa sababu binadamu tuna mitazamo tofauti.

By the way,Uzinduzi wa sera za CHADEMA umefia wapi?
 
Ashukuriwe Mungu mtanzania mwenzetu amerudi salama. Hongera vyombo vyetu vya usalama kwa mbinu zenu zilizosaidia watekaji kumuachia salama mtanzania mwenzetu!
 
Mkuu inabidi tuulizie ni pafyum aina gan hyo tuinunue kabsa maana 'wazungu' hawajadakwa bado ili ikitokea chochote tuwe ready kujipulizia.
Hiyo pafume ikipatikana itaongeza pato la Taifa sana maana nitakuwa mteja maradufu
 
Kama Ni hivyo Lema si apige Press release nyingine kina Kubenea na Anthony Komu nao wamuachie Ben Sanane
Nategemea uone hilo kama hulioni, we might be having quite differing levels of understanding! Jana Siro alijichanganya sana , mpaka na kipofu anaona kuwa Mo amefichwa na Siro.
 
Nchii hii wana masinema,halafu sasa masinema ya hovyooo wanazidiwa hata na zile za kikorea
 
Mwigulu mchemba ameshambuliwa insta kama mwasisi Wa hizi ishu za kutekana
 
Nasema tena narudia, bila kelele za Mb. Mh. Lema, Mo Dewji asingelipatikana. Kelele za Lema zimesadia. Ile press ilikuwa na impact kubwa sana. Pia Zito alitweet kuwa Siro anajua alipo Mo. Press ya jana ya Siro na maswali yaliyoibuliwa na hotuba yake yameibua irresistible conclusion kuwa SIRO anajua alio Mo Dewji (by Zito Kabwe)

Binafsi nawashukuru vijana kwa kusaidia kupatiakana kwa MO

Imeonyesha tunaweza tumesimama kidete isipokuwa wapumbavu wachache

nawashukuru JANUARY MAKAMBA, ZITO KABWE, GODBLESS LEMA ...

Kumbe tunaweza kuungana kama taifa kwenye mambo ya msingi
 
Sky hebu ulizia kama na Mo alijipulizia pafyum km yule Nondo wa Udsm?
hahaha ccm wanalitia aibu TAIFA . hakuna muwekezaji mwenye akili timamu atakaye jitoa kimaso maso ... kuja kuwekeza kwenye nchi yenye matukio ya kinyama kama hivi ... wawekezaji wengi huwa wanapenda nchi salama kwa uhai wao na rasilimali zao ....

poor ccm
 
Back
Top Bottom