Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Yan mkuu Mungu akunyime vyote akupe hekima na maarifa,hii cinema yao hata mtoto wangu wa sdt one humdanganyi. Shida akili ndogo inatawala akili kubwa ndo maana kila siku wanaumbuka na utaahira wao!
Mtihani Sana chief "... kundi la watu wachache limeamua kuivuruga nchi kwa maslaji yao wenyewe ...

huu sasa ndio ufisadi Haswaa ... yaani huu ndio ufisadi uliokubuhu .. Aibu sana kwakweli ... matukio yao yakupikwa yanafanywa na mbinu haba Sana ambazo hazina weledi wakumshawishi mtu mwenye akili timamu kuweza kuuamini huu upuuzi wao Mbaya zaidi mastermind wa haya matukio amefoji cheti cha form 4 so wana tegemea nini kama sio kuumbuka katika hiyo michezo yao kwa sababu watekaji wanaongozwa na mtu ambaye ana low IQ..AMA KWELI AKILI NDOGO HAIWEZI KUITAWALA AKILI KUBWA
 
Cha msingi MO amerudi, mengine ni changamoto tu.
Tunavishukuru vyombo vya ulinzi na usalama kwa kuweza kupatikana kwa MO.
MO sasa azingatie ushauri alioutoa IGP.
Dunia imekuwa kijiji, Watanzania hawana shida, lakini kuna wageni hapa nchini.
Ni lazima atembee na walinzi wenye silaha.
Kama anaenda mahali ahakikishe kumekucha, na kuna watu na mazingira salama.
Inawezekana kutekwa kwake ni somo kwake, ajifunze sasa.
Aweke Jim ya mazoezi nyumbani.
Karibu Bosi wetu, endeleza mipango yako,
Watanzania wanakupenda sana, wamekulilia sana.
Jilinde sasa,
Nisalimie Shemeji.[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
yaani IGP kufanya press tu.kapatikana?
Jogeshwar prasap na ayodhya prasap.
 
Mambosasa anasema Mo kathibitisha lafudhi ya "Watesi wake" in ya nchi za Kusini mwa Afrika. Ghafla amesahau kuwa aliutangazia ulimwengu kuwa Watesi hao walikuwa wazungu.
By the way, nani alimpigia simu Mambosasa, usiku wa manane, kuwa Mo kapatikana?
Kuna mtu bado ana mashaka kuwa Mambosasa alikuwa na mawasiliano na hao Watesi "wazungu" wanaoongea kwa lafudhi ya "Nchi za Kusini mwa Afrika?"
 
Yani wewe ulivyo kiazi unaona pesa ni bora kuliko uhai hata ingekuw trillion 3
 
HONGERA SANA JESHI LA POLISI TANZANIA WALAHI
NURU YENU IENDELEE KUNG’ARA TANZANIA, AFRIKA NA DUNIA NZIMA WALAHI
YASIYO WEZEKANA KWA BINADAMU KWA MWENYE ENZI MUNGU YAWEZEKANA WALAHI
HONGERA JPM, HONGERA CCM CHAMA CHA MILELE WALAHI
with Almighty One speed walahi
 
Yani hata mtoto mdogo angetakiwa asimamie huu utekaji angecheza very smart than this shit.
 
Kwa jicho la tatu ni kama vile wamempa ‘promo’ kimtindo!
 
Mo akiitisha Press Conference itavamiwa bila ya taarifa na Mwakiyembe ambae ndie atakuwa msemaji mkuu kama alivyofanya kwa ROMAAA.... HAHAAAA. awamu hiiii
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Tanzania kuna kundi moja tu LA watekaji,halafu hii tabia ya kunyemelea matajiri sijui itaisha lini,?
 
Kama in kweli watekaji wangelimuua
 
K Kwani south hakun wazungu? Refer to Apartheid policy
 

RUDI SHULE USOME TENA HISTORY YA SA, nincompoop walahi
 
Sirro ndio kawatisha kuwaonyesha wapo kwa mstari na wamejua yao..

Hongera kwa jeshi la Polisi
Jana Sirro alikuwa shujaaa na kawaonyesha ni moto moto na wametikisika haswaaa na kumuachia.
 
Bado yule Majizo naye atatekwa tu.

Inabidi atafute walinzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…