hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
Mtihani Sana chief "... kundi la watu wachache limeamua kuivuruga nchi kwa maslaji yao wenyewe ...Yan mkuu Mungu akunyime vyote akupe hekima na maarifa,hii cinema yao hata mtoto wangu wa sdt one humdanganyi. Shida akili ndogo inatawala akili kubwa ndo maana kila siku wanaumbuka na utaahira wao!
huu sasa ndio ufisadi Haswaa ... yaani huu ndio ufisadi uliokubuhu .. Aibu sana kwakweli ... matukio yao yakupikwa yanafanywa na mbinu haba Sana ambazo hazina weledi wakumshawishi mtu mwenye akili timamu kuweza kuuamini huu upuuzi wao Mbaya zaidi mastermind wa haya matukio amefoji cheti cha form 4 so wana tegemea nini kama sio kuumbuka katika hiyo michezo yao kwa sababu watekaji wanaongozwa na mtu ambaye ana low IQ..AMA KWELI AKILI NDOGO HAIWEZI KUITAWALA AKILI KUBWA