Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Yaani eti waliomteka wamrudishe nyumbani wao wenyewe hawaogopi kudakwa na vijana wa Siro?, Au Mo katembea kwa miguu kutoka alipokuwa ametekwa, tena usiku wa manane mpaka nyumbani kwao?

Hahahah inachekesha sana hii tamthiliya ila ukifikiria inasikitisha sana!.

Ukiwa Gangster basi uwe angalau Smart!. Zero in papers translates Zero in missions!!
Hapa hadi mo atuambie waliomteka walitaka nin na asiposema basi bila shaka jiwe linahusika,haiwezekan hao watekaji wampeleke hadi home bila kuogopa kukamatwa
 
Matumaini yangu mimi ni kuwa awe amepatikana kwa sababu ya kazi za polisi na usalama na siyo ransom. Maana kama ni ransom itaacha maswali mengi zaidi na ya hatari zaidi. Lakini zaidi ni kuwa kama alitekwa na wahalifu na watu hao wakaweza kumuachia (kwa ransom au vinginevyo) na wakatoweka bila kukutana na mkono wa dola ni jambo baya zaidi na linaloacha maswali mengi zaidi. Hoja siyo tu kupatikana kwa Mo bali pia kuhakikisha waliofanya kitendo hiki hawabakii salama.

Nilichokiona hata kwenye video hii ndogo ni kuwa Mo was broken; aliteswa na sababu yake haijawa wazi. Akiambiwa avue shati lake sidhani kama watu watapenda watakachokiona.. my fifty cents.
Michezo kama hii ya ransom ndio maana nchi kama Uingereza ilishakataa kulipa kama mwananchi/mtumishi wa serikali atatekwa. Ukianza huwezi kupinga au kukataa tena mbele ya safari!

Nimesikiliza maelezo ya Azim Dewji na body language ambapo ukichunguza kwa undani yanaonyesha kuwa wamelipa ransom! Huu ni mwanzo mbaya sana kwa maisha ya matajiri hasa kama waliofanya hivi wako huru na wamejua udhaifu wa wafanyabiashara na pia vyombo vya dola.
 
Yaani eti waliomteka wamrudishe nyumbani wao wenyewe hawaogopi kudakwa na vijana wa Siro?, Au Mo katembea kwa miguu kutoka alipokuwa ametekwa, tena usiku wa manane mpaka nyumbani kwao?

Hahahah inachekesha sana hii tamthiliya ila ukifikiria inasikitisha sana!.

Ukiwa Gangster basi uwe angalau Smart!. Zero in papers translates Zero in missions!!
Hapa hadi mo atuambie waliomteka walitaka nin na asiposema basi bila shaka jiwe linahusika,haiwezekan hao watekaji wampeleke hadi home bila kuogopa kukamatwa
 
Director wa hi cinema kashindwa kuimalizia Wamemtupia town ni bora hata wangemtupia pembezoni mwa mji uko inaonesha walimficha karibu na maeneo hayo
 
Mmmmmmmh baada lile dili la kushinikiza kupewa trilioni mbili kukwama wameona isiwe kesi acha walegeze tu hakuna namna maana hata watanzania walishaanza kushtukia mchezo.
Huwezi jua labda alizotoa Ndiyo wakamwachia Najua hakuna atakalosema la Ukweli Zaidi ya kusifia Serikali Na jiwe
 
Wameogopa kuumbuliwa na USA, walitaka kuingia mzigoni kupitia satellite kuwaumbua bushmen,kweli nimeamini ndumba upunguza uwezo wa kufikiri. Bushman always is a bushman
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nmechaka kinoma
 
Wamebana wameachia, Jiwe siyo Mtu!.

Namshauri Mo asepe atulie zake huko Brunei au Kisiwa chochote cha Pasifiki ale bata miaka saba ipite kisha arudi tujenge nchi!, yeye bado kijana, kupumzika miaka saba siyo ishu!
Wacha kuropoka ujinga ujinga
 
Kuna baadhi ya jamii mkoloni aliona ni hasara kuziendeleza kielimu,alijua watamuangusha tu.Wao walitumika kulima mikonge na Kazi za kubeba mizigo bandarini.
Dah! Tumefika mbali sana. Ila nimeamini ushamba ni mbaya sana. Hata upewe nafasi gani bado utafanya mambo yako kishambashamba tu! Ivi neno mshamba kwa kiingereza linaitwaje? Thanks God Mo is back
 
Hakika tumefurahi Mohamed Dewji kurudi akiwa hai! Salama? Hakuna anayejua!
Sasa atusaidie kujibu maswali kibao yaliyo mioyoni mwa watz. Police wajifunze ili matukio ya kuteka watu yasitokee tena. Never again. Sasa bado Saa8, Azory. Bring back our 'siblings'
Jana tu IGP kaita news conference leo MO huyoooo! What a coincidence!
All in all tunamtakia Mo kila la kheri. Pole ndugu, pole familia ya Gulamabbas Dewji.
 
Hizi njia anazotumia Jiwe kuendesha nchi hazina tija

Ni kweli hizi njia za EXTORTION anazotumia kuendesha nchi hazina tija; unaona hivi sasa anatumia njia hizo hizo kwa kutaka ACACIA walipe fedha anazozitaka kwani uchaguzi unakuja na watu hawajapata NOAH zao!!! Wanadhani kwa kuwatesa wafanyakazi wa ACACIA ndio watatoa fedha kitu ambacho hakiwezekani. Anawatesa wakina Mwanyika kwa makosa ya kufikirika ambayo hakuna mahakama yenye kuzingatia haki inaweza kuwatia hatiani. HUU NI UTAWALA WA KIIMLA SANA!
 
Nimemkumbuka Abdul Nondo alivyotekwa na kupatikana.. Alipewa kesi ya kujiteka..Kwa nini huyu Mo hajahojiwa na kufanyiwa uchunguzi wa kina. Waliomteka hawawezi kuwa wameacha alama..
 
Back
Top Bottom