Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Mtoa mada
Acha kua kichwa maji

Ushaambiwa kua ni Wazungu wawili wa Msumbiji ndio walomteka MOO.

Na gari ilotumika ishaonyeshwa, kua ilinaswa na CCTV.

Kua na amani,nchi yetu iko salama sana.

Bila shaka,
Jeshi letu tiifu litawafikisha mahakamani watekaji hivi punde.
Sawa..kwanza ALIYESEMA THOSE EXACTLY WORDS kwambaa ni "WAZUNGU WA MSUMBIJI" ni nani!?? Maana hakuna polisi aliyesema hayo mamamneno uliyoandika..unless wewe ndo uwe msemaji wa polisi.
Anywy.. Wamekamatwa!??
 
Mungu mkubwa.
Ila siwaelewi hawa watekaji dhumuni lao ni nini haswa. No ramson, no nothing! Or is it to instill terror to the public?
 
Inashangaza sana MO kutoka mikononi mwa watekaji halafu akapewa na simu ya kuwasiliana na ndugu zake baada ya kuachiwa.

Halafu imekuwaje mpaka sasa aendelee kuwa nyumbani wakati ndo kwanza katoka kutekwa, nadhani alitakiwa akamatwe kama Abdul Nondo akahojiwe aisaidie polisi.
 
Ni mpumbavu anasema huu ni ujinga halafu anapoteza muda wake kutoa povu kwenye ujinga!

Povu ulilotoa linaonyesha ni jinsi gani ujinga wangu umekuchoma kihoja mpaka unaonyesha upumbavu wako!

Kama umechukia sana, go hang! Who care?
Senge sana we jamaa! Unataka ku-justify uhalifu mnaofanya! Pumbavu zako na mabasha zako wanaokutumaga kuja kuhalalisha ushenzi wao hapo! Narudia, hizo sheria zako anaziweka nani na kama zipo mbona unafahamu kwamba Kusini mwa Afrika kunakuwa na utekaji for ransom?
 
Waganga wa kienyeji na wachawi wameikosa bilioni moja. I hate to see sadism in my homeland. God have mercy.
 
Director alisahau muendelezo wa Toyota Noah akakumbuka Surf peke yake ameona isiwe nongwa mchukueni huyo mtu wenh
 
Mambosasa: Taarifa siku ya tukio,waliomteka Mo ni wazungu wawili

IGP: waliomteka Mo walikuwa na gari la nchi jirani ila hakulitaja,ila wataalamu wa kufuatilia lile gari walisema ni la Msumbiji

Mo amepatikana Dar es salaam lakin si Msumbiji, wala Afrika Kusini


Baada ya kupatikana:Mambosasa: waliomteka Mo walikuwa wasouth Afrika ,walikuwa wanaongea kilugha

Unaweza ukajiuliza maswali hapa ,kichwa kikaota upara bila kupenda
Umeiona plate namba ya gar lililotelekezwa gymkhanaa?
 
Back
Top Bottom