Binafsi nimefrahishwa kusikia na kuona Mo karejeshwa salama salimini. Japokuwa nisingejielekeza kutupa lawama kwa yeyote lkn huenda imenipa kuona km mfumo wetu wa usalama una shida mahali. Bahati njema hivi sasa nchi hii inae kiongozi makini sana,na kupitia tukio hili kuna eneo ataona linafaa marekebisho. Lawama kwa jeshi la polisi sidhani ni sahihi sn kwa wakati huu,kwan juhud zao wamezionyesha dhahiri. Ndg zangu,ieleweke watekaji hutumia muda mrefu kupanga mkakati wa kutekeleza tukio lao ovu,wakizingatia uwepo wa mashambuliz makali upande wao. So,wanajipanga vzr mno!! Kwa hivi kuitaka Polisi iwakamate muda huohuo ni jambo halipaswi kufikirika sn japo hutokea hivyo mara chache.
Once tukio linapotokea ndipo polisi huingia kazin kuwasaka,na taarifa ya jana ya igp wetu ilionyesha vile hata wao walikuwa busy kuwasaka. Na si ajabu taarifa ile ndiyo imepelekea watekaji wamwachie. Tulipeni moyo jeshi letu jamani. Tunakosea sana kutaka liwe na uwezo wa Scotland yard or FBI nk. "Hii ni Tanzania jamani nchi inayoendelea bado"