Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Wamebana wameachia, Jiwe siyo Mtu!.

Namshauri Mo asepe atulie zake huko Brunei au Kisiwa chochote cha Pasifiki ale bata miaka saba ipite kisha arudi tujenge nchi!, yeye bado kijana, kupumzika miaka saba siyo ishu!
Alphard au Noah nyeusi 785 na tugari tudogo twingine tuwili tunafuatana, lile jamaa jeusi limenyoa zungu na domo kubwa kidogo na shati jeusi vuup mpa maeneo ya kama kwenye kichangi na linaingia kwenye kitu kama ghala au handaki mpishee........ Yaani nchi hii hatari sana mtegemeeni Mungu hakuna ambalo tutafumbwa maana hakuna linalofichwa kwake. Roho mtakatifu hutufunulia yaliyofichwa
 
Kwani kwa kideo umeona yupo nusu au?
Amerudi toka wapi? Maana ya kurudi ni kuwa kuna sehemu alienda yeye sasa amerudi lakini kama alipelekwa basi inakuwa amerudishwa na waliompeleka sasa swali umesema amerudi je ametokea wapi
 
Inashangaza sana MO kutoka mikononi mwa watekaji halafu akapewa na simu ya kuwasiliana na ndugu zake baada ya kuachiwa.

Halafu imekuwaje mpaka sasa aendelee kuwa nyumbani wakati ndo kwanza katoka kutekwa, nadhani alitakiwa akamatwe kama Abdul Nondo akahojiwe aisaidie polisi.
Haswaaaaaaa

Hata mimi nimejiuliza hili swali.
Vipi wamwachie kurejea nyumbani bila ya kumshikilia ili atoe maelezo yake rasmi kwa mamlaka ya dola ili kusaidia kupatikana kwa hao maharamia???
 
Kwambaa ndo amerud kutoka kazin alipoenda kutafuta maisha? Kwamba polisi wameshindwa kumpataa mpana kaamua kurud mwenyewe sasa na toyota surf yake akiwa mzima wa afya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Director wa hi cinema kashindwa kuimalizia Wamemtupia town ni bora hata wangemtupia pembezoni mwa mji uko inaonesha walimficha karibu na maeneo hayo
Maajabu haya.bora hata wangempeleka bagamoyo.mjini polisi na doria zote wameshindwa kuwaona watekaji
 
Kutekwa huku ni kwa faida ya MO,
Alijisahau sana.
Kwa tajiri wa kiwango chake ni hatari sana kwa jinsi alivyokuwa anaishi.
Yaani hata mtu asiye na silaha angeweza kumteka.
Sasa azingatie ushauri wa IGP.
La sivyo atakuja kupata madhara zaidi.
Hongereni Jeshi la Polisi kwa kazi nzuri sana.
Kishindo chenu kimetikisa watekaji hadi wameamua kumwachia MO.
Nina uhakika MO amejifunza kitu fulani kizuri.
 
Director wa hii movie kachemka sana,BASHITE wewe ni Zero brain huawezi kufanya jambo likawa halina mashaka,yaani mambo yako yote ni ya mashakamashaka hayapo straight,yanaacha maswali mengi kuliko majibu.
Gari ilikua imepaki pale kwa jiwe yani sinema imeishia magogoni
 
Binafsi nimefrahishwa kusikia na kuona Mo karejeshwa salama salimini. Japokuwa nisingejielekeza kutupa lawama kwa yeyote lkn huenda imenipa kuona km mfumo wetu wa usalama una shida mahali. Bahati njema hivi sasa nchi hii inae kiongozi makini sana,na kupitia tukio hili kuna eneo ataona linafaa marekebisho. Lawama kwa jeshi la polisi sidhani ni sahihi sn kwa wakati huu,kwan juhud zao wamezionyesha dhahiri. Ndg zangu,ieleweke watekaji hutumia muda mrefu kupanga mkakati wa kutekeleza tukio lao ovu,wakizingatia uwepo wa mashambuliz makali upande wao. So,wanajipanga vzr mno!! Kwa hivi kuitaka Polisi iwakamate muda huohuo ni jambo halipaswi kufikirika sn japo hutokea hivyo mara chache.
Once tukio linapotokea ndipo polisi huingia kazin kuwasaka,na taarifa ya jana ya igp wetu ilionyesha vile hata wao walikuwa busy kuwasaka. Na si ajabu taarifa ile ndiyo imepelekea watekaji wamwachie. Tulipeni moyo jeshi letu jamani. Tunakosea sana kutaka liwe na uwezo wa Scotland yard or FBI nk. "Hii ni Tanzania jamani nchi inayoendelea bado"
 
Back
Top Bottom