Aisatu
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 781
- 333
Hapa hadi mo atuambie waliomteka walitaka nin na asiposema basi bila shaka jiwe linahusika,haiwezekan hao watekaji wampeleke hadi home bila kuogopa kukamatwaYaani eti waliomteka wamrudishe nyumbani wao wenyewe hawaogopi kudakwa na vijana wa Siro?, Au Mo katembea kwa miguu kutoka alipokuwa ametekwa, tena usiku wa manane mpaka nyumbani kwao?
Hahahah inachekesha sana hii tamthiliya ila ukifikiria inasikitisha sana!.
Ukiwa Gangster basi uwe angalau Smart!. Zero in papers translates Zero in missions!!