Hapa hadi mo atuambie waliomteka walitaka nin na asiposema basi bila shaka jiwe linahusika,haiwezekan hao watekaji wampeleke hadi home bila kuogopa kukamatwaYaani eti waliomteka wamrudishe nyumbani wao wenyewe hawaogopi kudakwa na vijana wa Siro?, Au Mo katembea kwa miguu kutoka alipokuwa ametekwa, tena usiku wa manane mpaka nyumbani kwao?
Hahahah inachekesha sana hii tamthiliya ila ukifikiria inasikitisha sana!.
Ukiwa Gangster basi uwe angalau Smart!. Zero in papers translates Zero in missions!!
Michezo kama hii ya ransom ndio maana nchi kama Uingereza ilishakataa kulipa kama mwananchi/mtumishi wa serikali atatekwa. Ukianza huwezi kupinga au kukataa tena mbele ya safari!Matumaini yangu mimi ni kuwa awe amepatikana kwa sababu ya kazi za polisi na usalama na siyo ransom. Maana kama ni ransom itaacha maswali mengi zaidi na ya hatari zaidi. Lakini zaidi ni kuwa kama alitekwa na wahalifu na watu hao wakaweza kumuachia (kwa ransom au vinginevyo) na wakatoweka bila kukutana na mkono wa dola ni jambo baya zaidi na linaloacha maswali mengi zaidi. Hoja siyo tu kupatikana kwa Mo bali pia kuhakikisha waliofanya kitendo hiki hawabakii salama.
Nilichokiona hata kwenye video hii ndogo ni kuwa Mo was broken; aliteswa na sababu yake haijawa wazi. Akiambiwa avue shati lake sidhani kama watu watapenda watakachokiona.. my fifty cents.
Hapa hadi mo atuambie waliomteka walitaka nin na asiposema basi bila shaka jiwe linahusika,haiwezekan hao watekaji wampeleke hadi home bila kuogopa kukamatwaYaani eti waliomteka wamrudishe nyumbani wao wenyewe hawaogopi kudakwa na vijana wa Siro?, Au Mo katembea kwa miguu kutoka alipokuwa ametekwa, tena usiku wa manane mpaka nyumbani kwao?
Hahahah inachekesha sana hii tamthiliya ila ukifikiria inasikitisha sana!.
Ukiwa Gangster basi uwe angalau Smart!. Zero in papers translates Zero in missions!!
Huwezi jua labda alizotoa Ndiyo wakamwachia Najua hakuna atakalosema la Ukweli Zaidi ya kusifia Serikali Na jiweMmmmmmmh baada lile dili la kushinikiza kupewa trilioni mbili kukwama wameona isiwe kesi acha walegeze tu hakuna namna maana hata watanzania walishaanza kushtukia mchezo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nmechaka kinomaWameogopa kuumbuliwa na USA, walitaka kuingia mzigoni kupitia satellite kuwaumbua bushmen,kweli nimeamini ndumba upunguza uwezo wa kufikiri. Bushman always is a bushman
Oneni aibu wakati mwingine. Kushabikia upumbavu. Kila mtu anaelewa Nini kilichojiri.Ni heshima kwa Mungu kumzomea fisadi Lowasa -- Lema.
Safi ni kelele zilezile zilisababisha fisadi Lowasa akose urais
AsanteHongera jeshi LA polisi.
Hahahaha nimenawa mkuuNaona ndio umeamka mkuu nenda kanawe kwanza uso upige na mswaki
Wacha kuropoka ujinga ujingaWamebana wameachia, Jiwe siyo Mtu!.
Namshauri Mo asepe atulie zake huko Brunei au Kisiwa chochote cha Pasifiki ale bata miaka saba ipite kisha arudi tujenge nchi!, yeye bado kijana, kupumzika miaka saba siyo ishu!
Dah! Tumefika mbali sana. Ila nimeamini ushamba ni mbaya sana. Hata upewe nafasi gani bado utafanya mambo yako kishambashamba tu! Ivi neno mshamba kwa kiingereza linaitwaje? Thanks God Mo is back
Hizi njia anazotumia Jiwe kuendesha nchi hazina tija
Karudi mzima toka wapi hebu fafanua tujue wapi alipokwenda.Hivi hapo umeandika nini haswaaa?
Naona wengi mmeumia kwa yeye kurudi mzima.