Kifaurongo
JF-Expert Member
- Jan 18, 2010
- 4,221
- 2,359
Ameshapangwa.Mo akiitisha Press Conference itavamiwa bila ya taarifa na Mwakiyembe ambae ndie atakuwa msemaji mkuu kama alivyofanya kwa ROMAAA.... HAHAAAA. awamu hiiii
Migambo wanaruka na kukanyagana hahahaha hata asiye na akili ashang'amua game lote lilikuweje, producer mshamba kweli na mkizidi kumfuata mtaaibika maana nyie ndo washika vipaza sauti kusafisha utumbo woteMambosasa: Taarifa siku ya tukio,waliomteka Mo ni wazungu wawili
IGP: waliomteka Mo walikuwa na gari la nchi jirani ila hakulitaja,ila wataalamu wa kufuatilia lile gari walisema ni la Msumbiji
Mo amepatikana Dar es salaam lakin si Msumbiji, wala Afrika Kusini
Baada ya kupatikana:Mambosasa: waliomteka Mo walikuwa wasouth Afrika ,walikuwa wanaongea kilugha
Unaweza ukajiuliza maswali hapa ,kichwa kikaota upara bila kupenda
MFANYABIASHARA MAARUFU MOHAMMED DEWJI APATIKANA AKIWA HAI
Amepatikana akiwa ametupwa kwenye viwanja vya Gymkhana
Baada ya kutekwa, Gari la watekaji liliendeshwa kwa kasi sana na kwenda kuwekwa kwenye chumba akiwa amefunikwa uso
Inasemakana watekaji walikuwa wakiongea lugha inayoonekana kuwa ni ya Afrika Kusini
View attachment 904322
View attachment 904323
Uchunguzi na ile kauli ya tupo kwenye mchakato.tusubir uchunguz uendelee
Debriefing ni lazima.Taarifa zilizotufikia asubui ya leo ni kupatikana kwa Mo Dewji. Ni jambo la kumshukuru Mungu kwa kupatikana kwake akiwa hai na salama salimini. Swali langu kwa wataalamu wa mambo. Je? jeshi la polisi litamchukua tena Mo kwa ajili ya uchunguzi zaidi au litamuacha apumzike na aendelee na shughuli zake za kawaida?
Sababu ya swali hili ni kutokana na maswali mengi yasiyokua na majibu yaliyo sababisha na taarifa ya vyombo vya dola katika tukio hili. Tukianza na Wazungu wawili, CCTV inayotembea kufuata gari, taarifa za kupatikana kisha kufutwa ghafla, gari la msumbuji na maswali mengine kedekede. Ambayo kwa namna fulani hayawezi kupingana na mawazo ya wengi juu ya uhusika wa serikali katika tukio hili.
Je tutegemee polisi kumtwaa tena Mo kwa siku kadhaa kwa uchunguzi zaidi? au tukio hili ni kubwa kidogo kwao hivyo watampotezea na maisha yaendelee tu?
Maoni binafsi:
Mo hata hasipotueleza nani walimteka fresh tu, maana hata wao watekaji wanajua tunawajua
Ni utekelezaji wa ilani yetu tu.Mungu mkubwa.
Ila siwaelewi hawa watekaji dhumuni lao ni nini haswa. No ramson, no nothing! Or is it to instill terror to the public?
Gari iliyomteka MO imepita kituo cha salenda ikapita jengo la UWT ikakatiza Agakhan ikapita kituo cha polisi cha agakhan ikenda kumtupa gymkhana na wakaliacha gari hapo hapo na hao WAZUNGU wanaoongea KIZULU wanaotokea MSUMBIJI wakatokomea halafu mnasema nchi ina ulinzi wa kutosha na mpo vizuri.Mpuuzi sana na uvivu wako wako, imbecile walahi
Jesh halijafanikisha kupatikana kwake amerud mwenyewe kutoka huko alikokwenda kutafuta maisha ful stop[emoji23][emoji23][emoji23]Kama kweli jeshi la polisi limefanikisha upatikanaji wake basi wahalifu wafikishwe mahakamani au la tuaamini vyombo vya usalama vimeanza biashara ya utekaji na ransom.
Wao ndo watakaokuwa wanaona aibu na sio wanaowatuma!!Tena ana unyonge kweli mpk kuiface camera anaona shida maana walio mteka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hiyo mtaalamu wa hayo masuala umeunganisha doti na kutoa kasoro! Unahitaji kuteuliwa kuwa Mkuu wa Chombo chochote cha Usalama nchini.Mambosasa: Taarifa siku ya tukio,waliomteka Mo ni wazungu wawili
IGP: waliomteka Mo walikuwa na gari la nchi jirani ila hakulitaja,ila wataalamu wa kufuatilia lile gari walisema ni la Msumbiji
Mo amepatikana Dar es salaam lakin si Msumbiji, wala Afrika Kusini
Baada ya kupatikana:Mambosasa: waliomteka Mo walikuwa wasouth Afrika ,walikuwa wanaongea kilugha
Unaweza ukajiuliza maswali hapa ,kichwa kikaota upara bila kupenda