Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Ahsante Mungu kwa kumuokoa kijana wetu.
Waangazie na wale wengine pia.Huu ni mwanzo tu,kila nafsi iliyodhulumiwa Mungu ataidai.Ole wao wanaofanya dhulma hii.
Pia niishukuru familia ya Dewji kwa kutishia kufunga viwanda na mwenyewe kukataa kutoa ransom huko alikotekwa.That was a good "colabo"
 
Ni kweli kabisa tunamshukuru Mwenye Mungu kwenje jambo hili, ila asipotuambua alikuwa wapi na tukio zima la kutekwa kwake lilikuaje watanzania hatuta mwelewa!
Hapo aidha unamtafutia kutekwa tena au ndo episode inayofuata ya kamanda ziro kuwa alijiteka?
 
Natamani atokee mtu mwenye kujiamini atakaehoji kwa undani na polisi watupe majibu. Waelewe kwamba kwa sasa watanzania hasa tuishio mijini tuna uelewa mkubwa wasituone mazwazwa. Halafu kwa nini wanaitaga press conmference wanaongea wao wasimuache alietekwa aelezee kilichojiri? Pale mambosasa aongea sauti ina shake kabisa, mjue unawaangalia tuu nyie polisi ipo siku kutumika kwenu kutawafanya vibaya. Kipindi kile Cha Roma msemaji wa press conmference akawa Mwakyembe what the hell do you think?? kwamba sisi ni mazwazwa hatujui mnayoyafanya?? Shame on you All
 
Wait hivi ukifungwa macho mda mrefu afu ukaachiwa unachukua muda gani kija kuona vizuri ili ufike nyumbani
 
Hahahaaaaa, kwa hiyo unashauri wavunje ukimya ukimya tupate pa kuanzia?.
Kuwa na subira ni muhimu, Ila subira ya roma,ulimboka. lisu kwa kweli unachosha sana Subra ina kikomo chake
 
MFANYABIASHARA MAARUFU MOHAMMED DEWJI APATIKANA AKIWA HAI

Amepatikana akiwa ametelekezwa kwenye viwanja vya Gymkhana

Baada ya kutekwa, Gari la watekaji liliendeshwa kwa kasi sana na kwenda kuwekwa kwenye chumba akiwa amefunikwa uso

Inasemakana watekaji walikuwa wakiongea lugha inayoonekana kuwa ni ya Afrika Kusini

View attachment 904322
View attachment 904323




Mbona gari ya watekaji inabadilika kila siku au ni surf convertible?leo ina namba za Mozambique kesho za TZ..
Kumbe bongo movie wana inspire watu wengi na utumbo wao eh!
 
kwa mtazamo wangu swala hili litaisha kama la Roma mkatoliki. mo mwenyewe atakavyotoa majibu mtashangaa. subirini..
Unataka majibu ya Mo yanini?? Yeye mwenyewe kaandaliwa script yake na lazima aisomee
Majibu ya Mo ya nini? Wakati gari lililomteka ndilo lililo mrudisha na tayari lillikua limewekwa wazi kwa waandishi wa habari. Yani majibu yote haya bado unataka na mengine 😳😳😳
 
Ukiangalia Mo unajua kabisa kuna maneno alipewa mdomoni. Zile shukrani zake nilivyozisikia tu nikajua.
Hivi kulikua na haja gani ya kumshukuru Raisi wakati hajafanya kitu chochote kile wala hata kuonesha kukerwa hata kuifairji familia yake yani hata jeshi la polisi ila ukiangalia video jamaa anaonekana hakua comfortable kabisa
 
Unavishukuru vyombo vya ulinzi na usalama kwa kumpata Mo saa tisa usiku nyumbani kwake?
Hivyo vyombo vya ulinzi na usalama unavyovishukuru vimefanya operesheni gani iliyomrudisha Mo?
Au sijakuelewa? Una maana unavishukuru hivyo vyombo vya ulinzi na usalama kwa kumchukua na kumrudisha salama?
Tulia unaonekana unachemka sana.
Vile Vishindo tu vya Jeshi letu la Polisi, vimewafanya watekaji washindwe cha kufanya zaidi ya kusalenda.
Walikuwa wamezingirwa pande zote na hawana cha kufanya, hata kudai pesa walishindwa. Watadai kwa njia gani ?
Watalipwaje ?
Hawakuwa na namna zaidi ya kumwachia
Wangi mmeuangalia huu utekaji kirahisi sana.
Haikuwa rahisi hivyo.
 
Kitendo cha huyu jamaa(MO) Kutumia neno 'Nashukuru mamlaka husika na Polisi kuhakikisha NARUDI salama' Na sio 'NAPATIKANA salama' n ujumbe mkubwa sana kwa anayeelewa tofauti ya neno 'KURUDI na KUPATIKANA'
mwerevi tu ndio atajua
Screenshot_2018-10-20_081731.jpg
 
Anayekulinda wewe na mali yako hata ukaweza kila mara kuandika humu JF ni nani? Au anayewalinda hao Mabwana zako, ambao kila kukicha hukimbilia kwenye vyombo vya habari kuilaumu Serikali, kama hufanyavyo humu JF, wakiwa huru na salama, ni nani?
Allah ndie mlinzi wa wote!
Shekhe
 
Back
Top Bottom