Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Tangu kutekwa kwa Mo Dewji, ni wapinzani kwa kushirikiana na watanzania wengine ndio waliokuwa wamesimama mstari wa mbele kupaza sauti kutaka MO apatikane huku watu wa upande fulani karibu wote wakiwa kimya zaidi ya ku-tweeet tu kusikitishwa na tukio hilo.

Mnaoshabikia upinzani ufe tukio hili liwafumbue macho na mjiulize ingekuwaje kama wote tungekuwa wa chama kimoja kama mnavyotaka.

Waliobuni mfumo wa vyama vingi hawakuwa wajinga hivyo na nyinyi mnaotaka turudi katika huo mfumo muache kuwa wajinga.
 
Tunamuomba Mo aturushie buku buku M pesa.....Japo jeshi la polisi kwa weledi wa hali ya juu sana limefanikisha kumrudisha Mo lakini SISI makapuku forum hatukulala tumemtafuta hafi Msumbiji,South Africa na jirani na Ikulu.
wamemrudishaje wakati wao wameambiwa mo yupo hom anaongea na familia yake
 
Vijana wa Sirro walikuwa wametanda kila kona ya dar wakimsaka MO....Leo gari aina ya surf imepita na kwenda kumtupa bila vijana kuliona...hili gari liliwekwa mfukoni kama pipi au???
Watakuwa wameogopa press conference ya Lena ....!!!
 
Picha halisi ya alietekwa ni Pale,shukrani ya kwanza ni jeshi la polisi[emoji3]
Yaani hata hakumtanguliza kwanza kwa kumshukuru kuwa hai.
Hapo ndio ujue jamaa alishapigwa Mkwala Hevi[emoji3]kana kwamba ukihojiwa tu na waandishi cha kwanza shukuru jeshi la polisi kwa kazi waliofanya[emoji3]
 
Kwa kumtupa viwanja vya gymkhana inamaana hakuwa mbali na nyumba nyeupe au watekaji wana uhusiano kabisa na mzee yule wa nyumba nyeupe.
 

Acha utoto Dogo waliomteka huyo MO na ku Mpiga Risasi Lisu ni Jose na Bashiri kwa siasa za kipuuzi. Hayo maelezo yako kawaandikie washamba huko bush.
 
Hivi kuna nchi yenye mabwege kuliko Tanzania? Mtekwaji halalamiki katekwa na serikali bali anaishukuru, nyie mnamlazimisha aseme katekwa na serikali!
kusoma hujui basi hata picha ikusaidie zuzuwe[emoji83]
 
Kwa kumtupa viwanja vya gymkhana inamaana hakuwa mbali na nyumba nyeupe au watekaji wana uhusiano kabisa na mzee yule wa nyumba nyeupe.
 
Hii idea hawakua nayo, umewasaidia kuwapa hili wazo, hivyo watajifanya kumuita tena(ila sio kule wapokua wamemuhifadhi mwanzoni) na kumuhoji. Nakulaumu mkuu kwa kuwapa hili wazo zuri
Wanaandika script za hovyo sana mkuu, wacha tusaidie kuwakumbusha vipengele muhimu wasije waendelea kutupa maswali yasiokua na umuhimu
 
Ila MO ana bahati sana kutekwa na watu wakarimu kiasi hiki, yani ni kama walimpa lift, walimchukua hotelini,wakamzungusha zungusha mtaani na gari yao ya utalii, walipomaliza wakamrudisha gymkhana na hiyohiyo gari ya utalii, inawezekana pia hata huko walipokua wamemuhifadhi walikua wanapiga story tu za namna ya kuboresha zaidi biashara zake, huu ni utekaji wa kisasa zaidi kuwahi kutokea duniani, hongera za dhati ziende kwa mheshimiwa raisi kwa jitihada zake za kuboresha utekaji, ule utekaji wa zamani ulikua mbaya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…