Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukishakubali masharti ya kulipa kikomboleo (RANSOM) na ukaachiwa salama salimini... Mengine yote unaaachana nayo la sivyo unajitafutia balaa lingineNi maoni yangu tu kama mwananchi wa kawaida aliyeguswa
Km l m m. Y koChadema wamechukizwa mno na kupatikana kwa Mo maana kiki yao imebuna.
Shida na Matatizo yanayoipata Tanzania ndiyo ufahari wa Chadema!
Most likely they paid a ransom ,you dont take a chance to be caught by police in relocating Mo in safer place unless money is involved.Japo hatujui makubaliano yake na watekaji mpaka akaachiwa, karibu tena uraiani.
Ina maana wewe hujui mtekaji ni nani? Pole sana.Wewe twambia alitekwa na nani na kwa sababu gani?
Umesema hiyo barabara saa 12 hairuhusiwi kupita? Au nimekunukuu vibaya? Sasa walimrudisha vipi?Cctv yenye drone automated inayofukuzia Gari, yenye eyefish I aangalia ndani na inauwezo kutoa picha ya Techno!!
Tunaambiwa tuwapongeze kufanikisha kupatokana Mo! Just few steps kutoka ikuru! Eneo linalolindwa 24hrs that is why barabara hiyo saa 12 haoiruhusiwi kupita!Maajabu hayaishi nchi yetu hii!
Na Kuna wapumbavu wanatarajia kuwa kwa akili za kipumbavu za jiwe Tanzania itapata maendeleoHahahaha ushamba wa jiwe utamcost siku moja
Cover story hapa itakuwa ni nini ? Maana hata mtoto mdogo anajua Mo alichukuliwa na kina nani .
Halafu watu wa aina hii ndio wakakae meza Moja na kina Prof Thontorn wa Barrick tutegemee kulipwa na Accasia matrilioni ??
Tutakesha tukisiburia hilo
Always negativity!ukisikiliza Kwa makini mambo sasa utagundua anatumia nguvu kubwa kuaminisha watanzania kuwa Mo walitekwa Na watu wasio kuwa Na utaifa wa Tanzania .mwanzo walisema wazungu Ila sasa wanasema ni watu wa South Africa tena wanaongea mather language. wanakazana kusema tunamshukulu MH RAISI.
Zitto kabwe Na watanzania wengi wapo sahihi wakisema kuwa wausika walijulikana mapema
Na wamempa chakula Muda wote waliomteka!Ila MO ana bahati sana kutekwa na watu wakarimu kiasi hiki, yani ni kama walimpa lift, walimchukua hotelini,wakamzungusha zungusha mtaani na gari yao ya utalii, walipomaliza wakamrudisha gymkhana na hiyohiyo gari ya utalii, inawezekana pia hata huko walipokua wamemuhifadhi walikua wanapiga story tu za namna ya kuboresha zaidi biashara zake, huu ni utekaji wa kisasa zaidi kuwahi kutokea duniani, hongera za dhati ziende kwa mheshimiwa raisi kwa jitihada zake za kuboresha utekaji, ule utekaji wa zamani ulikua mbaya sana.
Haaa! Kumbe!Chadema wamechukizwa mno na kupatikana kwa Mo maana kiki yao imebuna.
Shida na Matatizo yanayoipata Tanzania ndiyo ufahari wa Chadema!