Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Daah... Nyie binadamu ni balaa tupu! Alipopotea mkailaumu serikali, kapatikana bado mnailaumu serikali. Naamini hata asingetekwa mgeilaumu serikali.
 
Japo hatujui makubaliano yake na watekaji mpaka akaachiwa, karibu tena uraiani.
Most likely they paid a ransom ,you dont take a chance to be caught by police in relocating Mo in safer place unless money is involved.
 
Nchi Hii inabidi iingie kwenye maajabu ya dunia!
Watekaji wako huru kutumia gari ile ile kumrudisha waliyemteka!!

Ama kweli only in tz
 
Wewe twambia alitekwa na nani na kwa sababu gani?
Ina maana wewe hujui mtekaji ni nani? Pole sana.

Hivi kwa akili yako baada ya IGP kutoa picha ya Toyota surf unaweza kusubutu kwenda na Toyota surf karibu na ikulu?

Mo ametekwa prime area na amerudishwa prime area, hata kama wewe ni mfia chama jaribu kuvaa ubinadamu ingawa maccm yote ni bora hata ukutane na chui aliyeshiba.
 
Umesema hiyo barabara saa 12 hairuhusiwi kupita? Au nimekunukuu vibaya? Sasa walimrudisha vipi?
 
Mkuu ukishakuwa muuaji lazima ujishtukizie Kama umeamua hata kama watu hawajakuona,, pole pole kajishtukizia kwamba watu watamshtukia ni mhusika indirectly
 
Na Kuna wapumbavu wanatarajia kuwa kwa akili za kipumbavu za jiwe Tanzania itapata maendeleo
 
Always negativity!
 
Na wamempa chakula Muda wote waliomteka!
 
Chadema wamechukizwa mno na kupatikana kwa Mo maana kiki yao imebuma.

Shida na Matatizo yanayoipata Tanzania ndiyo ufahari wa Chadema!
 
Tunashukuru Mungu amerudi salama. Inavyoelekea au inawezekana kuwa familia imelipa pesa kwa watekaji ili atoke salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…