Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Li chadrama ni lichama la kukurupuka la matukio, aibu kubwa kwake walahi
Sasa aende akabwabwaje tena, TOTAL SHAME ON YOU PEOPLE WALAHI
MAMA TANZANIA ATAWANYOSHA TU WALAHI
AIBU upande wenu huko kwa kuufyata kama vile mmemwagiwa maji baridi. Hakuna aliyekuwa na balls za kuzungumza ili Mo apatikane. Mmepiga kimya kikuu kama wafiwa. POLENI SANA! Igeni mfano wa Mhe. Lema. Acheni Uzwazwa!
 
Binafsi naunga mkono hoja yako mkuu pascal but bado sijajua kuwa ni alimuona MO WA Kwanza na kutoa taarifa au ni jeshi lenyewe ni ndio lilimkuta eneo hilo???
Taarifa ya kupatikana kwa MO ni nzuri sana Kwani kidogo kidogo matumaini yalianza kuondoka.
All in all jeshi la police linahitaji pongezi kubwa sana maana toka press conference ya jana saa 4 asubuhi na Ndani ya saa 24 amepatikana. Suala la kupongeza sana
 
Familia wanaongelea kuhusu kupatikana kwa Mo wakati wa Tz wanataka kujua who is behind? ni wakati muafaka pande zote zinazohusika watoe tamko linaloeleweka ili liweze kusaidia jamii ktk siku za mbeleni kwani issue sio kupatikana tu, ni muhimu maswali yote tatanishi yapatiwe majibu yasiyokuwa na shaka na mwisho wa siku wahusika watoke kifua mbele, Hapana shaka kuwa Mo karudi na serious Psychosocial Trauma hivyo tunategemea atatibiwa na familia ina wajibu wa kutupa feedback baada ya uchunguzi wa Drs
 
Serikali yao ndio ilikuwa inamtafuta..wao ndio walikuwa wakifanya mazungumzo na familia ya mo mara kwa mara..ulitaka nao walalamike kama wafanyavyo majirani?? Si mngewacheka
Una maana serikali ikishasema CCM ndiyo imesema, ndiyo maana tunasema CCM ilishakufa siku hizi kila kitu kinafanywa na serikali.
 
Hii video inazungumza kila kitu.Wenye akili tumeelewa.Kuanzia sauti ya Mambosasa hadi sura ya Mo!The message is there.
Nawahurumia askari wetu wana pressure kubwa sana awamu hii.
Pole sana kamanda Mambosasa.Sura na sauti yako vinazungumza hapo.Pole baba.Ukitoka hapo piga zako laga mbili tatu ulale.Wananchi tumeona.Umetuonyesha Mo wetu.Nawe pia wakwetu.Sura yako hapo imeonyesha.Mie sitakulaumu.Niseme tu thank you Kamanda.
 
Daah... Nyie binadamu ni balaa tupu! Alipopotea mkailaumu serikali, kapatikana bado mnailaumu serikali. Naamini hata asingetekwa mgeilaumu serikali.

Namnukuu Matola

"Ina maana wewe hujui mtekaji ni nani? Pole
sana.
Hivi kwa akili yako baada ya IGP kutoa picha ya
Toyota surf unaweza kusubutu kwenda na
Toyota surf karibu na ikulu?
Mo ametekwa prime area na amerudishwa
prime area, hata kama wewe ni mfia chama
jaribu kuvaa ubinadamu ingawa maccm yote ni
bora hata ukutane na chui aliyeshiba."
 
Chadema wamechukizwa mno na kupatikana kwa Mo maana kiki yao imebuna.

Shida na Matatizo yanayoipata Tanzania ndiyo ufahari wa Chadema!

FACTS
HAWAJUI KUSOMA ALAMA ZA NYAKATI WALAHI
MWENYE ENZI MUNGU KAWAFUMBA MACHO NA MASIKIO NA KAWABAKISHIA MIDOMO YA KUTOLEA KINYESI WALAHI
 
Gymkana pale karibu na Ikulu, Gymkana karibu na Agakhan hospital. Gymkana pale karibu na Upanga Seaview. Kiujumla eneo lile ni very sensitive sana kwa mtu kufanya Ujinga. Yaani watekaji wanamteka mtu Oysterbay/Masaki wanatembea nae msasani yote, mpaka kawe na leo wanamrudisha mpaka Gymkana..

Halafu Mkuu mmoja anasema nchi iko salama, vipi kule Tandika, Mbagala, Manzese, Mtoni, Mbezi, Mbalizi, Tunduma, kyerwa, Tukuyu watakuwa salama kweli kama mtu anatekwa sensitive area halafu watekaje wanamrudisha sensitive area..Kichwa kinauma kwakweli.
 
Mkuu Paschal,naanza na samahani!
Hivi siku hizi unakula "maharage" ya wapi?
Yaani hela wapewe waliozembea hadi kachukuliwa,kafichwa,karudishwa hadi viwanja vya wazi bila wao kung"amua na kisha wanamfuata kwake kupiga naye picha???!!!! Je,matukio ya zamani ambayo hawajayapaia ufumbuzi wapewe nini?
I WILL BE the last person to believe them.
 
Una maana serikali ikishasema CCM ndiyo imesema, ndiyo maana tunasema CCM ilishakufa siku hizi kila kitu kinafanywa na serikali.
Serikali inasimamia sera ya ccm..kwa hiyo serikali ni muajiriwa wa ccm..
 
Mkuu kweli wewe UNA AKILI kama unavyojitanabaisha.
 
Hivi Ni wapi walisema limeshaavuka mpaka na halipo nchini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…