Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Mimi sina uenyeji na jiji la joto ebu nijulisheni hapo MO alipotupwa ni mbali na mjini au ni nje kidogo kama ni mjini means hawa watekaji wanazurura tu mjini daslaam mjini bila tatizo

Alipotekewa ni moja ya eneo nyeti sana Tanzania maana hukaa viongozi wengi na pia ni ofisi kuu ya Tiss wetu, alipotupwa ni eneo nyeti pia kiulinzi na lipo karibu na ikulu, Agakhan hospital, Upanga sea view, nk Hapo ndio kichwa kinapouma haswaa.
 
Kila mwenye smart phone nchi hii ni mtaalam wa uchunguzi.Mbona mnatumia nguvu nyingi kupotosha taarifa za polisi? Mnafaidika na nini? Wazungu waliopo south Afrika hawawezi kuongea lahaja ya South Africa?
Mtaumbuka mliotaka kufanya tukio hili lisilo la kawaida kujipatia ujiko wa kisiasa.
 
Chadema wamechukizwa mno na kupatikana kwa Mo maana kiki yao imebuna.

Shida na Matatizo yanayoipata Tanzania ndiyo ufahari wa Chadema!
Acha ufala dogo, Chadema wamehusikaje...ukienda Mombasa gasho kama wewe unapakatwa mpaka unaelewa!
 
Hilo ni agizo la Bashite.
Hilo ni wazo lako. Lakini mimi bado nasubiri MO atulize akili na atoe kilichomsibu. Nitasikiliza kutoka kwake kwani tukio kama hili akidanganya atakuwa anajidanganya mwenyewe. Ila nachojua kwa sasa yeye ameishukuru serikali mnayoituhumu ninyi.
 
Ni kweli kwamba Mo katika nafasi yake ana athari kubwa ktk jamii kwa mambo ya biashara ( ajira na bidhaa) pia mambo ya buruduni (mpira)

Lkn jeshi letu halipaswi kufanya kazi kwa kuangalia mezani kuna ‘case’ ya nani na kuanza kuangalia ‘personality ‘ za kushughulikia mambo yapi ya kuweka mkazo na yapi yachukulie ‘lightly’

Wafanye kazi kwa misingi ya weledi na taaluma zao, kadhia ya Ben Saanane, Azory, Mh, Lissu na wengineo ilitakiwa yatoke majibu ya uhakika ndani ya jeshi la polisi sio hizi hadithi sijui mtu kaamua kuhama, kajificha au kaondoka sababu ya kutafuta/ugumu wa maisha, hivi kwani jeshi letu la polisi haliwezi kupata ushahidi kwa hayo mpaka nalo liishie kwenye dhana/shaka kama sisi raia na lina nyenzo zote za kujua mtu katekwa,kajiteka, kahama eneo na labda kujua mpaka sababu ya kutokea yote hayo

Nacho ona kuna mambo ya siasa yameingilia jeshi letu la polisi na ndo maana kuna ‘mparaganyiko ‘ huu unatokea kwa sasa
 
Wee bavicha, kwa taarifa yako Mo ni mwanachama wa ccm tena mwanachama hai. Na serikali ya ccm ndio ilikuwa bize kumtafuta huku chadema wakikesha kuomba asipatikane ili wapate kiki. Toka lini chadema ikamtakia mwanaccm mema?
 
Wameogopa civil disobedience, dalili zilishaanza kujitokeza
 
Sijaelewa ulichokiandika, nimerudia two times, but I haven't understood

Si bora wakatupe mtoni ziende na maji wavuvi wataokota zikifika ziwani au baharini
 
Chadema wamechukizwa mno na kupatikana kwa Mo maana kiki yao imebuna.

Shida na Matatizo yanayoipata Tanzania ndiyo ufahari wa Chadema!

G LEMA njoo na press ya Ben Saanane sasa
 
Walimteka MO, mara tu baada ya kutekwa wakasema ametekwa na wazungu. Ili kujaribu kumaintain consistency juu ya walichosema, mara tu baada ya kumrudisha wakasema waliomteka walionekana kuongea lugha za South Africa, ili ionekane kweli ni wazungu. Ukiwa na ubongo kidogo hutaelewa kwa nini waitaje South Africa. 1. South Africa ina wazungu 2. South Africa kuna matukio mengi ya utekaji.
 
Hivi afya ya mtu inadhibitishwa kwa maneno.Hao watekaji wamemrudisha sio kwa juhudi yoyote ya polisi.Wameamua kukamilisha tukio.Hata wangetaka kumuua wangeweza.Ni aibu wiki nzima yuko hapa Mjini na gari hiyo
hiyo alafu tuna eti makachero?
 
Dah.. Aisee yani wewe kila kitu ni kufagilia upinzani! Unatia kinyaa..

Kama unafikiri selikali ndio inahusika na imewaogopa hao wapinzani, mbona Ben bado hajarudi na kila siku mnapiga makelele?
Ubongo uliosinyaa.Pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…