Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Naona imekugusa sana niliposema Mo ni mwanaccm tena by membership, valid member anayelipia kadi yake, sio kibaraka au shabiki tu kama nyie bavicha mnaotumika kama makarai.
Acha uchochezi na ushabiki wa kijinga. Yaani unataka kutuaminisha akili yako inavyofiiiri.Body language ya Mo inasema kila kitu, Jamaa hawaangalii usoni wakat wa kuwapa mkono hii ni kitu kikubwa sana na meseji nzito mno. Nimeekuelewa Mo.
Duuh hii nji bwana hata ukipigwa viboko kauli yako lazima umshukuru aliyekuchapaKwa Wazungu hawawezi.kuwa Wasauzi Afrika? ila yote tisa,kumi ni kwamba Mo anajua kila kitu,ndio mana hatak kumuangalia usoni kamanda but naona mentally hayuko fiti he need to rest and be counselled
Mkuu hapo ni karibu na makao makuuMimi sina uenyeji na jiji la joto ebu nijulisheni hapo MO alipotupwa ni mbali na mjini au ni nje kidogo kama ni mjini means hawa watekaji wanazurura tu mjini daslaam mjini bila tatizo
Kwa hiyo point iko wapi ya kumteka ?!..Hakuna chochote kilichotolewa upepo uliopimwa Jana na mkubwa kabisa wa geshi haukufanikiwa maana kama alichochoea moto wadanganyika wamegoma kudanganyika joto likapanda Zitto alisema Yule mkubwa alikuwa anajua MO alipo
Lema na Zitto mnawapa sifa za uongo. Ni watekaji wamekosa njia ya kumtorosha tu wakamrudisha baada ya Jeshi la polisi kubana kila njia ya kumtolea. Na baada ya kutoa picha ya gari wakafahamu tayari wako uchi wa mnyama. Lema hana issue. Ni mvuta bange kama wavuta bange wengine.
Mkuu hili jambo ndio limefika kikomo hivyo, tusitarajie kingine tena hata kama tutahoji kiasi gani
Mkuu umejuaje walitembea nae huko msasani mpaka kawe?
Kauli ilivuruga usanii wote katika hiki sakata ni "Namshukuru Rais",Ndio maana nikasema ichambue video
Hahhha, mkuu na wewe umewaza mbali, jamani wenye majibu kwanini wanaotekwa wanarudishwa weekend? ???Mungu hadhihakiwi. Kila aliyetekwa anaachiwa week end kwanini? Kuna jambo hapa.
Wakati hata rais hakuzungumzia lolote tangu kutekwa kwake,mmmh ngashtukaKauli ya kumshukuru tu mheshimiwa rais mm ndo inanipa shida sana aisee,
Kwann amshukuru rais? Wakati watekaji walimchukua na wamemwachia bila nguvu yeyote kutumika
Shukrani kwa raisi ni za nn hasa?
He he he heWe bilionea wa JF hawana time na wewe.