squirtinator
JF-Expert Member
- Sep 20, 2015
- 2,765
- 4,182
Mkuu kwani mwenye wizara yuko wapi siku hizi,maana kimya sana hatoi tena maelekezo kwa bwana afandi
Ramson=ransom.Muda utaongea.
Nimejiuliza ile bilioni moja iliyotajwa na familia ya Mo kama 'zawadi' kwa mtu atakayeleta taarifa zitakazowezesha upatikanaji wake, je ni reward kweli yaani ni zawadi kwa mtoa taarifa au ni ramson...
Jeshi la utekaji.Jeshi lipi? La wapi? Yaani gari itoke huko ilipokuwa ije mpaka mjini wamtupe mtu pasipo kuonekana? hizo Sinema za kihindi kwa kizazi hiki cha Sayansi waache kuzileta Tanzania, kama wanazipenda wakatengenezee huko kolomije kwanza.
Huwa munaangalia wote hizo movietatizo bavicha mnaangalia sana series na movies mnakuja kutusumbua nazo hapa JF
Akili za masaburiMmmmmmmh baada lile dili la kushinikiza kupewa trilioni mbili kukwama wameona isiwe kesi acha walegeze tu hakuna namna maana hata watanzania walishaanza kushtukia mchezo.
Ndio maana limeitwa tukio lisilo la kawaidaKwani MO ni wa kwanza kutekwa, siku hizi hayo ni matukio ya kawaida tu, mtu anachukuliwa katikati ya eneo lenye ulinzi mkali bila kizuizi chochote.
hahahahaha zitto ana harisha uko kiki imepotea sasa sijui atapata wapi nyingine?
Ahaa. Conclusion zako zinaonyesha hujaelewa. Usalama wa White House unafananiasha na mitaa ya Dar? Nyie ndiyo mmekakari hoja eti sehemu aliyotekwa ufahali hauzi kufanyika.Kwahiyo unataka kutuambia ni rahisi sana kufanya uhalifu White house au Magogoni.
Kama ni rahisi kufanya uhalifu maeneo sensitive sidhani kama watu wangetumia gharama kubwa kwenda kuishi kule..