Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Muda utaongea.
Nimejiuliza ile bilioni moja iliyotajwa na familia ya Mo kama 'zawadi' kwa mtu atakayeleta taarifa zitakazowezesha upatikanaji wake, je ni reward kweli yaani ni zawadi kwa mtoa taarifa au ni ramson yaani matakwa ya malipo ya watekaji?
Muda utaongea kama tutaona shughuli fulani zilizokuwa zimewekewa deadline zikisogezwa mbele na ubize kurudi.
 
Nadhani mo atakuwa ameambiwa asiongee chochote , akae kimya

Asante zitto kwa pressure yako dhidi ya dili la aijipi na genge lake ,

Familia ya mo inabidi ikushukuru
 
Ramson=ransom.
Muda utaongea.
Nimejiuliza ile bilioni moja iliyotajwa na familia ya Mo kama 'zawadi' kwa mtu atakayeleta taarifa zitakazowezesha upatikanaji wake, je ni reward kweli yaani ni zawadi kwa mtoa taarifa au ni ramson...
Ramson=ransom.
 
Jeshi lipi? La wapi? Yaani gari itoke huko ilipokuwa ije mpaka mjini wamtupe mtu pasipo kuonekana? hizo Sinema za kihindi kwa kizazi hiki cha Sayansi waache kuzileta Tanzania, kama wanazipenda wakatengenezee huko kolomije kwanza.
Jeshi la utekaji.
 
Najiuliza ndotoni.."hivi lile gari ambalo now lillikuwa tayari lishaonyeshwa..eti watekaji watoke huko kawe mbali kabisa usiku wa manane usiku ambao unakuwaga na patrol kali mpaka sehemu ambayo ina patrol kali kuliko yaani karibu kabisa na Ikulu....yaani wapite kona zote hizo wasionekane then wamtupe gymkana..???? Mi nazani lile gari wala halikutoka mbali na pale[emoji32][emoji32][emoji32]
 
Kwahiyo unataka kutuambia ni rahisi sana kufanya uhalifu White house au Magogoni.
Kama ni rahisi kufanya uhalifu maeneo sensitive sidhani kama watu wangetumia gharama kubwa kwenda kuishi kule..
Ahaa. Conclusion zako zinaonyesha hujaelewa. Usalama wa White House unafananiasha na mitaa ya Dar? Nyie ndiyo mmekakari hoja eti sehemu aliyotekwa ufahali hauzi kufanyika.
 
Back
Top Bottom