Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

But in this case politics is totally out of equation...Mo alitekwa kibiashara na the whole issue ilijengwa na watu wa nchi amabzo wafanya biashara wake walikuwa na market share kubwa katika bidhaa ambazo mo ameanza kuzizalisha
maybe japo jibu analo mwenyewe hizi zetu zote ni speculations
 
UPDATES
kauli ya lissu itaishi HAKUNA ALIYESALAMA,WAKIMALIZA KWETU WATAKUJA NA KWENU nafikiri watu hawakumuelewa , MO aliziba masikio alifikiri haimuusu
Sasa mbona umeichukua kwa lissu alafu unatuongopea umeichukua mahali
 
UPDATES
kauli ya lissu itaishi HAKUNA ALIYESALAMA,WAKIMALIZA KWETU WATAKUJA NA KWENU nafikiri watu hawakumuelewa , MO aliziba masikio alifikiri haimuusu
Kwani kuna mwingine aliyefyatuliwa kiuno au kupewa ulemavu wa kudumu kwa sababu ya udomokaya??
 
Kama vile nawaona wale wa chama pinzani wanaokuwa wanataka vitu viharibike ili pande jengine lipate lawama .... haters
 
UPDATES
kauli ya lissu itaishi HAKUNA ALIYESALAMA,WAKIMALIZA KWETU WATAKUJA NA KWENU nafikiri watu hawakumuelewa , MO aliziba masikio alifikiri haimuusu
Lakini hii ni bongo movie tu ile ya Lissu ilikuwa true story
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…