Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

MFANYABIASHARA MAARUFU MOHAMMED DEWJI APATIKANA AKIWA HAI

Amepatikana akiwa ametelekezwa kwenye viwanja vya Gymkhana

Baada ya kutekwa, Gari la watekaji liliendeshwa kwa kasi sana na kwenda kuwekwa kwenye chumba akiwa amefunikwa uso

Inasemakana watekaji walikuwa wakiongea lugha inayoonekana kuwa ni ya Afrika Kusini'

Tanzania, Mfanyabiashara Mohammed Dewji ‘Mo Dewji’ aliyetekwa Oktoba 11 na kupatikana leo Jumamosi Oktoba 20, 2018 saa nane usiku baada ya waliomteka kumtupa katika Viwanja vya Gymkhana katikati yajijini la Dar es Salaam.

Habari zaidi soma=>Dar: Mfanyabiashara Mohammed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay - JamiiForums

=======

“Namshukuru Mwenyezi Mungu nimerudi salama nyumbani. Nawashukuru Watanzania wenzangu na watu wote kote duniani kwa dua na sala zao. Nashukuru mamlaka zote, ikiwemo Jeshi la Polisi, zilizofanya kazi ya kuhakikisha narudi salama.” — Mohammed Dewji (Saa 9:15 alfajiri, Dar es Salaam)

“I thank Allah that I have returned home safely. I thank all my fellow Tanzanians, and everyone around the world for their prayers. I thank the authorities of Tanzania, including the Police Force for working for my safe return.”
— Mohammed Dewji (3:15AM, Dar es Salaam)



View attachment 904322
View attachment 904323


Jana Ijumaa ndugu zetu Waislamu wamesoma dua la kumwomba Allah watekaji wa MO wamwachie, leo alfajiri Mwenyezi Mungu amerespond. Ni jambo la kushukuru sana.

Ijapokuwa mimi ni mkristo, nawaomba tena ndugu zetu Waislamu wasome dua itakayowezesha Mwenyezi Mungu kuwaumbua na kuwaweka hadharani hawa wanaofanya matukio ya utekaji ili tuishi kwa amani kama tulivyokuwa tunaishi zamani pamoja na shida zetu tulizokuwa nazo.
 
But in this case politics is totally out of equation...Mo alitekwa kibiashara na the whole issue ilijengwa na watu wa nchi amabzo wafanya biashara wake walikuwa na market share kubwa katika bidhaa ambazo mo ameanza kuzizalisha
maybe japo jibu analo mwenyewe hizi zetu zote ni speculations
 
UPDATES
kauli ya lissu itaishi HAKUNA ALIYESALAMA,WAKIMALIZA KWETU WATAKUJA NA KWENU nafikiri watu hawakumuelewa , MO aliziba masikio alifikiri haimuusu
Sasa mbona umeichukua kwa lissu alafu unatuongopea umeichukua mahali
 
UPDATES
kauli ya lissu itaishi HAKUNA ALIYESALAMA,WAKIMALIZA KWETU WATAKUJA NA KWENU nafikiri watu hawakumuelewa , MO aliziba masikio alifikiri haimuusu
Kwani kuna mwingine aliyefyatuliwa kiuno au kupewa ulemavu wa kudumu kwa sababu ya udomokaya??
 
Kama vile nawaona wale wa chama pinzani wanaokuwa wanataka vitu viharibike ili pande jengine lipate lawama .... haters
 
UPDATES
kauli ya lissu itaishi HAKUNA ALIYESALAMA,WAKIMALIZA KWETU WATAKUJA NA KWENU nafikiri watu hawakumuelewa , MO aliziba masikio alifikiri haimuusu
Lakini hii ni bongo movie tu ile ya Lissu ilikuwa true story
 
Back
Top Bottom