Lyamber
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 11,716
- 18,828
Kama script zinafeli hakuna utaasisi wowote ulekuna watu lukuki nyuma ya rais, walifanya kwa niaba yake, narudia "RAIS NI TAASISI"😎😎😎😎
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama script zinafeli hakuna utaasisi wowote ulekuna watu lukuki nyuma ya rais, walifanya kwa niaba yake, narudia "RAIS NI TAASISI"😎😎😎😎
MFANYABIASHARA MAARUFU MOHAMMED DEWJI APATIKANA AKIWA HAI
Amepatikana akiwa ametelekezwa kwenye viwanja vya Gymkhana
Baada ya kutekwa, Gari la watekaji liliendeshwa kwa kasi sana na kwenda kuwekwa kwenye chumba akiwa amefunikwa uso
Inasemakana watekaji walikuwa wakiongea lugha inayoonekana kuwa ni ya Afrika Kusini'
Tanzania, Mfanyabiashara Mohammed Dewji ‘Mo Dewji’ aliyetekwa Oktoba 11 na kupatikana leo Jumamosi Oktoba 20, 2018 saa nane usiku baada ya waliomteka kumtupa katika Viwanja vya Gymkhana katikati yajijini la Dar es Salaam.
Habari zaidi soma=>Dar: Mfanyabiashara Mohammed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay - JamiiForums
=======
“Namshukuru Mwenyezi Mungu nimerudi salama nyumbani. Nawashukuru Watanzania wenzangu na watu wote kote duniani kwa dua na sala zao. Nashukuru mamlaka zote, ikiwemo Jeshi la Polisi, zilizofanya kazi ya kuhakikisha narudi salama.” — Mohammed Dewji (Saa 9:15 alfajiri, Dar es Salaam)
“I thank Allah that I have returned home safely. I thank all my fellow Tanzanians, and everyone around the world for their prayers. I thank the authorities of Tanzania, including the Police Force for working for my safe return.”
— Mohammed Dewji (3:15AM, Dar es Salaam)
View attachment 904322
View attachment 904323
Jana Ijumaa ndugu zetu Waislamu wamesoma dua la kumwomba Allah watekaji wa MO wamwachie, leo alfajiri Mwenyezi Mungu amerespond. Ni jambo la kushukuru sana.
Ijapokuwa mimi ni mkristo, nawaomba tena ndugu zetu Waislamu wasome dua itakayowezesha Mwenyezi Mungu kuwaumbua na kuwaweka hadharani hawa wanaofanya matukio ya utekaji ili tuishi kwa amani kama tulivyokuwa tunaishi zamani pamoja na shida zetu tulizokuwa nazo.
maybe japo jibu analo mwenyewe hizi zetu zote ni speculationsBut in this case politics is totally out of equation...Mo alitekwa kibiashara na the whole issue ilijengwa na watu wa nchi amabzo wafanya biashara wake walikuwa na market share kubwa katika bidhaa ambazo mo ameanza kuzizalisha
Wazungu wa mamboleo, Pombe na DAB.So nani kapata bilioni 1
Sasa mbona umeichukua kwa lissu alafu unatuongopea umeichukua mahaliUPDATES
kauli ya lissu itaishi HAKUNA ALIYESALAMA,WAKIMALIZA KWETU WATAKUJA NA KWENU nafikiri watu hawakumuelewa , MO aliziba masikio alifikiri haimuusu
huwezi elewa haya mambo...Sasa mbona umeichukua kwa lissu alafu unatuongopea umeichukua mahali
huwezi elewa haya mambo...
UPDATES
kauli ya lissu itaishi HAKUNA ALIYESALAMA,WAKIMALIZA KWETU WATAKUJA NA KWENU nafikiri watu hawakumuelewa , MO aliziba masikio alifikiri haimuusu
Kwani kuna mwingine aliyefyatuliwa kiuno au kupewa ulemavu wa kudumu kwa sababu ya udomokaya??UPDATES
kauli ya lissu itaishi HAKUNA ALIYESALAMA,WAKIMALIZA KWETU WATAKUJA NA KWENU nafikiri watu hawakumuelewa , MO aliziba masikio alifikiri haimuusu
Lakini hii ni bongo movie tu ile ya Lissu ilikuwa true storyUPDATES
kauli ya lissu itaishi HAKUNA ALIYESALAMA,WAKIMALIZA KWETU WATAKUJA NA KWENU nafikiri watu hawakumuelewa , MO aliziba masikio alifikiri haimuusu