Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Hahahaaa SCRIPT IKAE VEMA
 
Muandaji wa cinema hiyo aende akasome,, bora zile film zetu za akina wema na kanumba.
 
Scripts zilikuwa hovyo tokea mwanzo wa muvi.
 
Ashukuriwe Mungu aliyejuu ya mbingu na nchi kwa kumrejesha MO salama. Pole sana MO na karibu uraiani tujenge uchumi wa viwanda.
 
Lingine hata kama kapatikana akiwa mzima kwa nini wasingempeleka kwa nza hospital angalau kupumzishwa tuu ata na drip la maji ya glucose au kupimwa hata malaria mana siku zote hizo huwezi jua usalama wa aliko lala
Hahaha
 
CCTV zote za kuingia gymkana zinawezajibu swali lako. Lzm GARI ilionekana ikipita,na jinsi hao watekaji walokole walivofaulu kutoroka
 
Huwezi ukawa na akili kuliko wote
Lingine hata kama kapatikana akiwa mzima kwa nini wasingempeleka kwa nza hospital angalau kupumzishwa tuu ata na drip la maji ya glucose au kupimwa hata malaria mana siku zote hizo huwezi jua usalama wa aliko lala
 
Mode sio nia yangu kuingilia kazi yenu. Like threads ndizo zinaunganishwa, msingi wa kuunganisha, ni maudhui yanayofanana, bandiko hili ni kupatikana kwa MO Dewji,

Mimi bandiko langu ni swali jee polisi wapewe ile Bilioni moja ya zawadi, bandiko hili lina uhusiano gani na kupatikana kwa MO Dewji?.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…