Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Kwa nini watu weusi tu huwa tuna hiyo misemo? Sijawahi kusikia Muhindi, Mchina au hata Mwarabu akisema sijui we are all one, mara utasikia its only the color au kama wewe different color one people, hii ni misemo ya masikini na watu wasiojithamini na wasiothaminiwa, ni low IQ .
 
Kutoka kwenye hiyo video... anaonekana kabisa hayupo sawa... na hayo maneno amelishwa aseme...

Cc: mahondaw
 
Imekuuma sana kuona Dewji kapambaniwa sana!!!Hata JPM akipotea,hawezi pambaniwa kama alivyopambaniwa Dewji!

Yaa ni kweli imeniuma sana, kuona Muhindi akigombaniwa na kupiganiwa namna hii, ni kama vile uone ndama wakimgombania na kumpigania mwenye bucha, lazima ikushangaze kama una hata tu akili ya wastani, kuna baadhi ya mambo huwa hayabadiliki!
 
Ni kwamba Muhindi ana uwezo wa kuitisha Mapinduzi na kuipindua Serikali yetu tulioichagua, na hakuna Muhindi atakayeshiriki kwenye maandamano, bali ni weusi ndo watajazana, ...
Na wahindi ndiyo wafadhili wakubwa wa CCM.
 
Kama humkubali Mo ni bora ukakaa kimya. Maneno yako yananuka shombo la ubaguzi.

Mimi ndiyo ni Mbaguzi, hilo sifichi na hakuna ubaya wowote kuwa mbaguzi, kwanza kutokuwa Mbaguzi ni ujinga na kutokuwa na akili.
 
Kutoka chama cha siasa hadi kuwa genge la kigaidi linaloteka,kutesa na hata kuua.
 
Imekuuma sana kuona Dewji kapambaniwa sana!!!Hata JPM akipotea,hawezi pambaniwa kama alivyopambaniwa Dewji!
Hii Sentensi hakika si mchezo mkuu akipotea huyo jamaa hakuna hata atakaeuliza yuko wapi
 
UMESAHAU PIA ANA SHARE KWENYE MOJA YA CLUB KUBWA YA MPIRA NCHINI
 
Watanzania wa mtandaoni ni tofauti na waliopo kwenye field/ground. Refer to maandamano ya Mange.
Ajabu watanzania wa mtandaoni wanawatetemesha na kuwapa vigugumizi wenye mamlaka walio field, maana waliwafanya jamaa wapige jaramba CC Ukuta $ 26.04.2018 hakuna aliehama kuunga mkono juhudi wala nini wote kiimya
 
Mimi ndiyo ni Mbaguzi, hilo sifichi na hakuna ubaya wowote kuwa mbaguzi, kwanza kutokuwa Mbaguzi ni ujinga na kutokuwa na akili.

True walahi
Aende India aone mchezo mzima, wapuuzi sana hao walahi
 
Yaa ni kweli imeniuma sana, kuona Muhindi akigombaniwa na kupiganiwa namna hii, ni kama vile uone ndama wakimgombania na kumpigania mwenye bucha, lazima ikushangaze kama una hata tu akili ya wastani, kuna baadhi ya mambo huwa hayabadiliki!
Kwako wewe ulipenda asipatikane!Chuki zako humu kwa watanzania wasio na asili ya kiafrica ni kubwa sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…