Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Kwaiyo ile billion moja wameshapewa hao walinzi, maana wao si ndo wamefanikisha taarifa kufikia familia
 
Umofia KWENU.

Tutafakari sentensi hii ya Afande Mambosasa" WATEKAJI WALIPOMFIKISHA MO JIMKHANA WAKAMWACHA, NDIPO MO AKAWAFUATA WALINZI WA ENEO LILE NA KISHA KUOMBA SIMU AKAMPIGIA BABA YAKE NA KUFIKA KUMCHUKUA.....HAWA WALIKUWA WALINZI KWELI AU WAVUVI MAANA MLINZI AMBAYE ALISHINDWA KUWAONA WATEKAJI ILA ALIMWONA MO SIDHAN KAMA ANAPASWA KULINDA ENEO SENSITIVE KAMA LILE ........ AU WALIKUWA WAMELALA?
Kumbe watekaji walimshusha MO ,,wakatokomea zao,,POLICE WANAPONGEZWA kwa LIPI?hawa jamaa wana UKAKASI
 
Aisee hawa jamaa wa Green guard ni hatari sana.

Ndiyo maana kipindi cha chaguzi unaweza kuta wanamshambulia Mtanzania mwenzao tena bila huruma kisa ni kutoka upinzani..

Kwa Uzi huu wa Kibaguzi zama hizi aisee we jamaa hufai kabisa
Isijekuwa hii movie Green guard mlikuwa nyuma ya tukio.
 
Mnatumia Ruzuku vibaya mnagawana bando za kuja kupot nonsense huku mitandaoni
Ruzuku ya CCM inayotumika kuteka watu kuwabambikia kesi, kuwahujumu kudhoofisha upinzani, kuwanunua madiwani wabunge kazi za hovyo hovyo zisizo na Tija kwa chama na Taifa inatoka kwako?
 
Mnatumia Ruzuku vibaya mnagawana bando za kuja kupot nonsense huku mitandaoni
igizo limebumaa. jengeni viwanda acheni maigizo . ziko wapi mil 50 kwa kila kijiji? viko wapi viwanda?.wale mafisadi waliotengenezewa mahakama.pale ubungo ni kinanani mbona ngeleja karudisha ml.40 na bado yu bungeni?
 
Kumbe watekaji walimshusha MO ,,wakatokomea zao,,POLICE WANAPONGEZWA kwa LIPI?hawa jamaa wana UKAKASI

Bashite na kikundi chake akina Le mutuz hawana ujuzi na hizo Sinema ndiyo maana kila Sinema wanazikosea.
 
Umofia KWENU.

Tutafakari sentensi hii ya Afande Mambosasa" WATEKAJI WALIPOMFIKISHA MO JIMKHANA WAKAMWACHA, NDIPO MO AKAWAFUATA WALINZI WA ENEO LILE NA KISHA KUOMBA SIMU AKAMPIGIA BABA YAKE NA KUFIKA KUMCHUKUA.....HAWA WALIKUWA WALINZI KWELI AU WAVUVI MAANA MLINZI AMBAYE ALISHINDWA KUWAONA WATEKAJI ILA ALIMWONA MO SIDHAN KAMA ANAPASWA KULINDA ENEO SENSITIVE KAMA LILE ........ AU WALIKUWA WAMELALA?

Hao walinzi
Walikuwa hawajasikia news, kuna 1b ukimwona MO
 
Maana nimeona kuna maswali hapa nimelala alafu nikaamka,

Kwanini familia imekimbilia kujitetea kwenye maelezo kwamba tumepigiwa simu tukamfuata, ila jamani tumefanya kosa hatujaenda na polisi,

Tunaweza kuwapata walinzi waliompa simu au.namba zao tukahakikisha kwamba ni kweli? Au angalau wahojiwe basi,

Maana hisia hizo zinapelekea tuamini amerudishwa na.polisi kwao,

Na kuambiwa waseme yafatayo

Plz Sirro na Mombasasa msichukie maana maswali tunavyouliza tunawapa nafasi ya kurekebisha maelezo yenu,

Script ikae vema
Extremely possible [emoji120][emoji120][emoji120] you are indeed a great thinker [emoji106][emoji106]
 
igizo limebumaa. jengeni viwanda acheni maigizo . ziko wapi mil 50 kwa kila kijiji? viko wapi viwanda?.wale mafisadi waliotengenezewa mahakama.pale ubungo ni kinanani mbona ngeleja karudisha ml.40 na bado yu bungeni?

CCM warejeshe zile trilion 1.5 kwanza kabla ya mengine
 
Bashite na kikundi chake akina Le mutuz hawana ujuzi na hizo Sinema ndiyo maana kila Sinema wanazikosea.
Chochote cha KUDANGANYA kinahitaji EDITING......jambo LA ukwl HALINA EDITING siku zote
 
Ni kwamba Muhindi ana uwezo wa kuitisha Mapinduzi na kuipindua Serikali yetu tulioichagua, na hakuna Muhindi atakayeshiriki kwenye maandamano, bali ni weusi ndo watajazana, ...
Njaa itakuua na ubaguzi wako.
 
Maana nimeona kuna maswali hapa nimelala alafu nikaamka,

Kwanini familia imekimbilia kujitetea kwenye maelezo kwamba tumepigiwa simu tukamfuata, ila jamani tumefanya kosa hatujaenda na polisi,

Tunaweza kuwapata walinzi waliompa simu au.namba zao tukahakikisha kwamba ni kweli? Au angalau wahojiwe basi,

Maana hisia hizo zinapelekea tuamini amerudishwa na.polisi kwao,

Na kuambiwa waseme yafatayo

Plz Sirro na Mombasasa msichukie maana maswali tunavyouliza tunawapa nafasi ya kurekebisha maelezo yenu,

Script ikae vema
Mo katoka magogoni kwa Magu hayo mengine ni porojo. This is United Republic of Gangster bwana
 
Back
Top Bottom