Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Chochote cha KUDANGANYA kinahitaji EDITING......jambo LA ukwl HALINA EDITING siku zote
Tatizo kubwa ni mshauri wa mtukufu ni Bashite na Kituko zaidi huyo Bashite hana vyeti ni kilaza na cha kushangaza na kuhuzunisha zaidi ni mshauri mkuu wa Bashite ni kubwa jinga Le mutuz yaani ni Aibu mshauri wa Mtukufu kuwa na washauri wajinga jinga mazuzu kama akina Musiba, jerry muro na boss wao Le mutuz.
 
Ndo maana aligoma kuulizwa maswali maana angebanananishwa kwa maswali mpaka ushuzi ungemtoka
 
Hata mi suala la kupotea kwa Mo halikunishtua coz mimi pia ni mbaguzi na huwa sijifichi. Nakubagua hadharani bila chembe ya aibu. Pia siogopi kubaguliwa. Wahindi nani asiowajua?
 
Mo amepatikana, eidha ilipangwa au laa. Muvi imeisha. Wewe ni nini zaidi unachokitaka?
Hahahaaaah, tatizo lako unamchukulia MO, kama jiwe au bashite!! Hapo ndio unachanganya, majibu yake utayapata kwenye makusanyo ya kodi. Unajua mmejaa ushabiki wa kijuha sana, Taifa linaangamia mmebaki na uzwazwa!!
 
Ruzuku ya CCM inayotumika kuteka watu kuwabambikia kesi, kuwahujumu kudhoofisha upinzani, kuwanunua madiwani wabunge kazi za hovyo hovyo zisizo na Tija kwa chama na Taifa inatoka kwako?
Kwaiyo kama ccm tunatumia ruzuku zetu vibaya ni nyie wazalendo wa chadema mtumie vibaya?
 
Na kama kweli basi hao walinzi ni mazumbukuku ulimwengu uko huku yaani bil 1 imetangazwa badala ya kupiga simu.wao kuwa ndio wamemuona wanampa simu ili bil moja ajilipe mwenyewe? Hata mtengeneza uongo huu ni wa kiwango cha vidudu
 
Usipoteze muda mkuu kujadili haya. Kwa kuwa yu mzima....tuendelee na shughuli zetu.
Ndio akili yako ndogo inavyokutuma, wewe endelea na shughuli zako. Sisi tunapambana tupate ukombozi zidi ya utawala wa kidikteta!!
 
igizo limebumaa. jengeni viwanda acheni maigizo . ziko wapi mil 50 kwa kila kijiji? viko wapi viwanda?.wale mafisadi waliotengenezewa mahakama.pale ubungo ni kinanani mbona ngeleja karudisha ml.40 na bado yu bungeni?
Kosa lako ni kuwa huelewi sheria mkuu;

Sheria ikitungwa huanza kutumika kuanzia muda ule uliotangazwa kuanza kutumika.
 
Umofia KWENU.

Tutafakari sentensi hii ya Afande Mambosasa" WATEKAJI WALIPOMFIKISHA MO JIMKHANA WAKAMWACHA, NDIPO MO AKAWAFUATA WALINZI WA ENEO LILE NA KISHA KUOMBA SIMU AKAMPIGIA BABA YAKE NA KUFIKA KUMCHUKUA.....HAWA WALIKUWA WALINZI KWELI AU WAVUVI MAANA MLINZI AMBAYE ALISHINDWA KUWAONA WATEKAJI ILA ALIMWONA MO SIDHAN KAMA ANAPASWA KULINDA ENEO SENSITIVE KAMA LILE ........ AU WALIKUWA WAMELALA?
Sio hivyo tuu. Kumbuka familia ilisha toa offer ya Bilioni moja..
Halafu Wahindi walivyo waoga waondoke mpaka Gymkhana bila kutoa taarifa polisi??! Walikuwa na uhakika gani wao wako salama?? Kweli tuna intelligence Tz...
 
Kosa lako ni kuwa huelewi sheria mkuu;

Sheria ikitungwa huanza kutumika kuanzia muda ule uliotangazwa kuanza kutumika.
sheria ipi unayoizungumzia wewe kinyamkera? kama hivyo ndivyo mbona kina rugemalila wapo ndani? kwani waliiba peke yao? wengine wapo wapi?
 
Ruzuku ya CCM inayotumika kuteka watu kuwabambikia kesi, kuwahujumu kudhoofisha upinzani, kuwanunua madiwani wabunge kazi za hovyo hovyo zisizo na Tija kwa chama na Taifa inatoka kwako?
Hizo ni hisia tu hakuna popote palipothibitika kwa hayo uliyoyasema
 
I see.
Kwa hiyo ulitaka wananchi waseme safi mhindi katekwa

Dunia hii ukitembea kote utakuta wahamiaji ndio wanaendesha uchumi kwa sababu wanaona opportunities nyingi kuliko aliekuwepo.

Tembea uone mzee acha ubaguzi
Hata pasta tusingeijua bila mtaliano
Na leo utajipiga na biryani ya hao hao unaowachukia la sivyo usingevuka ugali
 
walinzi wa dar Bilion moja imekuja mpaka mikonon mwenu alafu mmeiacha iende zake
 
Kama Ni kweli uwazavyo basi Tanzania kwa Sasa hatuna vyombo vya ulinzi na Usalama kabisa.
Na je unadhani uko ktk vyombo vyetu hakuna watu wenye ujuzi na uwezo wa kifikiri Kama wewe?
Hakuna kabisa mkuu yaani hakuna!
 
Back
Top Bottom