Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Huo ndio utaratibu unaotumika duniani kote, katika kubadilishana mateka kwa ransom, familia inaelezwa, kama mnamtaka ndugu yenu akiwa hai, leteni kiasi fulani mahali fulani pa wazi, no police involvement, unaelekezwa mahali pa kuacha fuko la fedha kisha unapigiwa simu mahali pa kumkuta mtu wenu, biashara inamalizika.
Uko sahihi kabisa. Jee ni utaratibu wa kawaida vile vile kwa watekaji kuacha zana zao za kazi (eg silaha, gari) kwenye eneo la kubadilishana mateka / pesa?

Any way. Tusitake ku pre empty the story. Uchunguzi wa kitaalamu unaendelea, ukiendeshwa na majeshi yetu mahiri. Mwisho wa uchunguzi kila kitu kita make sense. Tuendelee kushirikiana na vyombo hivi kwa kuvipa taarifa sahihi. Tuachane na uzitto na ulema.
 
Huyo baba yake Mo alikuwa na uhakika gani wa usalama wake aende mwenyewe Gymkhana bila kuhusisha vyombo vya ulinzi ..Je kama na yeye alikuwa anaenda kutekwa ?

Mambosasa nilipeni mimi niwe nawaandikia Script za haya maigizo
 
Ndio akili yako ndogo inavyokutuma, wewe endelea na shughuli zako. Sisi tunapambana tupate ukombozi zidi ya utawala wa kidikteta!!

Ni vema, ila sie wengine tushapata majibu. Nazidi kushangaa kama bado "mkombozi" hujapata jibu mpaka sasa.
 
Kwa nini watu weusi tu huwa tuna hiyo misemo? Sijawahi kusikia Muhindi, Mchina au hata Mwarabu akisema sijui we are all one, mara utasikia its only the color au kama wewe different color one people, hii ni misemo ya masikini na watu wasiojithamini na wasiothaminiwa, ni low IQ .
Safi sana! Nimisemo ya masikini
 
Uko sahihi kabisa. Jee ni utaratibu wa kawaida vile vile kwa watekaji kuacha zana zao za kazi (eg silaha, gari) kwenye eneo la kubadilishana mateka / pesa?

Any way. Tusitake ku pre empty the story. Uchunguzi wa kitaalamu unaendelea, ukiendeshwa na majeshi yetu mahiri. Mwisho wa uchunguzi kila kitu kita make sense. Tuendelee kushirikiana na vyombo hivi kwa kuvipa taarifa sahihi. Tuachane na uzitto na ulema.
Yes watekaji makini wanaacha ushahidi ili ku dupe uchunguzi, silaha zote hizo zilizoachwa ni stolen elsewhere ambazo ni genuine na registered ili kuzitumia kama chambo cha kuwapotezea tuu maboya polisi wetu.

P.
 
Kuna ukweli wowote juu ya yeye mo kutelekezwa gymcana?
 
Anamshukuru "rais" mimi namuuliza "kwa lipi alilokufanyia hali ya kuwa alikuwa anagonga juice na wanandinga pale mjengoni?
Sikumsikia akitamka lolote kutekwa kwako!
Tafadhali sana MO tupe maelezo in a free style mode.
 
Back
Top Bottom