Maana nimeona kuna maswali hapa nimelala alafu nikaamka,
Kwanini familia imekimbilia kujitetea kwenye maelezo kwamba tumepigiwa simu tukamfuata, ila jamani tumefanya kosa hatujaenda na polisi,
Tunaweza kuwapata walinzi waliompa simu au.namba zao tukahakikisha kwamba ni kweli? Au angalau wahojiwe basi,
Maana hisia hizo zinapelekea tuamini amerudishwa na.polisi kwao,
Na kuambiwa waseme yafatayo
Plz Sirro na Mombasasa msichukie maana maswali tunavyouliza tunawapa nafasi ya kurekebisha maelezo yenu,
Script ikae vema