Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo baba yake Mo alikuwa na uhakika gani wa usalama wake aende mwenyewe Gymkhana bila kuhusisha vyombo vya ulinzi ..Je kama na yeye alikuwa anaenda kutekwa ?
Mbona hawajapewa 1bUmofia KWENU.
Tutafakari sentensi hii ya Afande Mambosasa" WATEKAJI WALIPOMFIKISHA MO JIMKHANA WAKAMWACHA, NDIPO MO AKAWAFUATA WALINZI WA ENEO LILE NA KISHA KUOMBA SIMU AKAMPIGIA BABA YAKE NA KUFIKA KUMCHUKUA.....HAWA WALIKUWA WALINZI KWELI AU WAVUVI MAANA MLINZI AMBAYE ALISHINDWA KUWAONA WATEKAJI ILA ALIMWONA MO SIDHAN KAMA ANAPASWA KULINDA ENEO SENSITIVE KAMA LILE ........ AU WALIKUWA WAMELALA?
Walinzi ni kampuni ipi Chui Security au KK au Kiwango au SGA?Umofia KWENU.
Tutafakari sentensi hii ya Afande Mambosasa" WATEKAJI WALIPOMFIKISHA MO JIMKHANA WAKAMWACHA, NDIPO MO AKAWAFUATA WALINZI WA ENEO LILE NA KISHA KUOMBA SIMU AKAMPIGIA BABA YAKE NA KUFIKA KUMCHUKUA.....HAWA WALIKUWA WALINZI KWELI AU WAVUVI MAANA MLINZI AMBAYE ALISHINDWA KUWAONA WATEKAJI ILA ALIMWONA MO SIDHAN KAMA ANAPASWA KULINDA ENEO SENSITIVE KAMA LILE ........ AU WALIKUWA WAMELALA?
IPO ukitaka kujua subiria chadema wafanye mkutano wa ndani au msibaniSio hivyo tuu. Kumbuka familia ilisha toa offer ya Bilioni moja..
Halafu Wahindi walivyo waoga waondoke mpaka Gymkhana bila kutoa taarifa polisi??! Walikuwa na uhakika gani wao wako salama?? Kweli tuna intelligence Tz...
Ooooh ni walinzi wa kampuni binafsi kumbe pale gymkana??? Ohoooo..asante kwa kunijulishaWalinzi wa makampuni binafsi hawahusiki na ukaguzi wa magari.
Wao kazi yao ni kulinda mali za sehemu waliyokabidhiwa kuilinda.
Kukagua plate namba ni kazi ya Trafiki au polisi.
UVIVU WA KUFIKIRI NI MMBAYA ZAIDI YA KUFILISIKAAmeona tz itawaka moto ,kaamuru watu wasiojulikana wamurudise salami salimini, lakini namushauri hivyo hivyo ahame tz kabisa
Mi nilidhani zile Drama za kipindi cha nyuma zingewafunza kumbe baadoWalijisahau kuwa shule za kata zimesha tutoa gizani
Mbona mnapata tabu sana kujaribu kuziba uchi ulio uchi?We ndio jinga kweli wewe..kwani mlichoonyeshwa jana ni picha ya cctv au picha ya gari?? We hujui kutofautisha..?
Haya unadhani garihiyo ingeendelea kubaki na namba za msumbiji wakati imekuja kufanya tukio??umeona namba za kwenye vioo??
Aliyekuambia kelele za lema na zitto ndio zimesababisha mo apatikane ni nani?? Mbona kelele hizo hazijawapata waliompiga tundulissu au waliomchukua ben saanane..acheni ushabiki kutu
Sent from my HUAWEI P7-L10 using JamiiForums mobile app