Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Mpaka sasa motive ya kumteka kaja kuisema mtekwaji baada ya kuachiwa hapo ndio mashaka yalipo maana kama kuna ransom wasingetangaza dau la 1bn
 
Sinema imeisha ndgu zangu, tuendelee na mambo mengine
 
Huyo baba yake Mo alikuwa na uhakika gani wa usalama wake aende mwenyewe Gymkhana bila kuhusisha vyombo vya ulinzi ..Je kama na yeye alikuwa anaenda kutekwa ?

Script ya kupewa uhakika ilichezwa behind the scene, wali cut... ila muvi ndio iliisha hvo....

Sterling amepatikana ila Jambazi kuu amekoswa koswa!! almanusura atiwe nyavuni
 
Mbona hawajapewa 1b
 
Walinzi ni kampuni ipi Chui Security au KK au Kiwango au SGA?
 
Sio hivyo tuu. Kumbuka familia ilisha toa offer ya Bilioni moja..
Halafu Wahindi walivyo waoga waondoke mpaka Gymkhana bila kutoa taarifa polisi??! Walikuwa na uhakika gani wao wako salama?? Kweli tuna intelligence Tz...
IPO ukitaka kujua subiria chadema wafanye mkutano wa ndani au msibani
 
Uzao wenye koo zilizolaaniwa ndo wamepewa funguo za kuzimu
 
Niliposikia uchi wa Madaraka, tayari nikajua chadema wanatafutwa,wapewe msala
 
Mi nashauri director wa poliwood afukuzwe kazi. Anaonyesha behind the scene kabla ya move kufika mwisho? Kama vile starling kufa mwanzoni mwa move!
 
Hili swali linanitatiza. Iweje walinzi wapige simu nyumbani kwa Mo badala ya Polisi? Mbona si utaratibu wa kawaida?
 
Kuna script ilipotea watekaji walipaswa wasukumiziwe Chadema. Top story ya Taifa walinzi maeneo Gymkhana wamwone MO,! Break ya kwanza kituo cha polisi kuweka record wavute B!!
 
Walinzi wa makampuni binafsi hawahusiki na ukaguzi wa magari.
Wao kazi yao ni kulinda mali za sehemu waliyokabidhiwa kuilinda.
Kukagua plate namba ni kazi ya Trafiki au polisi.
Ooooh ni walinzi wa kampuni binafsi kumbe pale gymkana??? Ohoooo..asante kwa kunijulisha
 
Ameona tz itawaka moto ,kaamuru watu wasiojulikana wamurudise salami salimini, lakini namushauri hivyo hivyo ahame tz kabisa
UVIVU WA KUFIKIRI NI MMBAYA ZAIDI YA KUFILISIKA
Dua la kuku halimpati mwewe hata siku moja
 
Tunamshukuru #Mungu kwa kurudi ukiwa hai, Watanzania tuendelee kuwaombea na wengine wawe salama huko waliko ili siku moja warudi salama. Tuendelee tupaza sauti kwa namna yeyote ile.

Thanks God for being back Alive but ask to #BringOtherAgailWhileAlive, #BenSaanane,#AzoryGwanda, #SimonKanguye at el.
 
GWAJIMA UMEONYESHA UWEZO KWA MO SASA NAKUOMBA ELEKEZA NGUVU HIZOHIZO KWA WALIOMSHAMBULIA LISU WAPATIKANE
 
Mbona mnapata tabu sana kujaribu kuziba uchi ulio uchi?
 
Dikteta na dhalimu ndiye muhusika mkuu wa kutekwa kwa MO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…