Hawawezi kuliona hilo., press iliyokuwa imeandaliwa na Mh Lema, it has been overtaken by event ya kupatikana kwa Mo and will be merely be a political propaganda!CCM poleni mmeonyesha udhaifu mkubwa sana kwenye tukio hili, press ya Lema haina maana tena kwa sababu ilikuwa purposely kwa ajili kujibu press ya jana ya Sirro.