Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

CCM poleni mmeonyesha udhaifu mkubwa sana kwenye tukio hili, press ya Lema haina maana tena kwa sababu ilikuwa purposely kwa ajili kujibu press ya jana ya Sirro.
Hawawezi kuliona hilo., press iliyokuwa imeandaliwa na Mh Lema, it has been overtaken by event ya kupatikana kwa Mo and will be merely be a political propaganda!
 
Nasema tena narudia, bila kelele za Mb. Mh. Lema, Mo Dewji asingelipatikana. Kelele za Lema zimesadia. Ile press ilikuwa na impact kubwa sana. Pia Zito alitweet kuwa Siro anajua alipo Mo. Press ya jana ya Siro na maswali yaliyoibuliwa na hotuba yake yameibua irresistible conclusion kuwa SIRO anajua alio Mo Dewji (by Zito Kabwe)
Lema na Zitto mnawapa sifa za uongo. Ni watekaji wamekosa njia ya kumtorosha tu wakamrudisha baada ya Jeshi la polisi kubana kila njia ya kumtolea. Na baada ya kutoa picha ya gari wakafahamu tayari wako uchi wa mnyama. Lema hana issue. Ni mvuta bange kama wavuta bange wengine.
 
Hivi huyu waziri alivyotekwa tu alikuwa wa kwanza kutuambia kaongea na babake, leo usiku huu ni yeye kawa wa kwanza kutuambia kaongea nae! Mo hakuwa kwa mjomba wake ati yuko nyumbani kwake salama! Alitakiwa awe kituo cha police kuisaidia maelezo, then hosipitali then jeshi lireport yuko salama. Huwezi kutoweka, au kotoweshwa then ukarudi au kurudishwa nyumbani ikaishia hapo. Ngoja kukuche.
Polisi ndio hao
 

Attachments

Habarini za asubuhi wakuu..

Ni jambo la kumshukuru Mwebyezi MUNGU kwa kuwezesha ndugu vyetu kupatikana akiwa hai na salama..Lakini kwenye Hili saga kuna mambo machache nimejifunza/nimeyaona ambayo ningependa kushea na nyinyi..

1.Wananchi wengi hawana imani na Mfumo wa Usalama wa nchi.
Baada ya Mo kutekwa,sehemu kubwa ya wananchi(mfano humu JF) walikuwa wanadai kwamba SERIKALI inafahamu alipo(inahusika) kulingana na mlolongo wa matukio ya kupotea watu mbalimbali ktk awamu hii.

2.Baadhi ya viongozi ni wa Ajabu sana.
Watu wengi waliponda na kuwa disappointed kiongozi fulani aliposema eti watu wasizungumzie kupotea kwa MO maana wanawatia huzuni wanafamilia[emoji23][emoji23][emoji23]..it was funny(myb he had a strong point..but it sounded funny among most of people)

3.POLISI BWANA!!
Hapa sina cha kuongezea..maana hata mimi nilishangazwa na zile picha za "CCTV" zilizotolewa(unless niwe sikumwelewa kamanda)

Pili;Kamanda alitoa maelezo ya kujichanganya kuhusu watekaji..mara ni raia wa kigeni(wazungu)..mara ni wasouth africa walikuwa wanaongea kilugha..uts contradicting!! Ukijumlisha na picha zililizokuwa released jana zilipingwa kwa nguvu zote na watu wengi kwamba pale sio kwny ile hotel.
Pia kamanda aliogopa nini kusema hiyo gali ina namba za usajili za msumbiji!?? Kwanini aafichefiche eti ni "nchi jirani"???anaonesha kama anawaogopa hivi(conspiracy theory[emoji23])

Tatu watekaji walimtupa MO baada ya kumalizana nae so msijipe credits nyingi sanaaa mtaharibu.mmefanya kazi nzuri lakini.

Nne; kelele za wanasiasa na wannchi zimesaidia kupatikana kwa mo..huo ndo ukweli.

4.MWISHO.
Je Watekaji walikuwa wanataka nini!? Je itasemwa hadharani au itabaki kuwa siri(kama kina ishu ya kina Roma!!?)


Conclusion!!

Hizi habari za kutekana si nzuri zinaharibu sifa ya nchi na tunaonekana ni watu wa ajabuajabu..Tanzania ni nchi ya amani..tuitunze na tusupport vyombo vyetu vya usalama kwny kazi zao ili mambo yawe smooth.
Nice weekend everyone.
 
MFANYABIASHARA MAARUFU MOHAMMED DEWJI APATIKANA AKIWA HAI

Amepatikana akiwa ametupwa kwenye viwanja vya Gymkhana

Baada ya kutekwa Gari ya watekaji iliendeshwa kwa kasi sana na kwenda kuwekwa kwenye chumba akiwa amefunikwa uso

Asema watekaji walikuwa wakiongea lugha inayoonekana kuwa ni ya Afrika Kusini

View attachment 904322
View attachment 904323


Jambo la kwanza tunamshukuru Mungu mwingi wa rehema kwa kupatikana kwa MO. Hata hivyo kitendo hichi kimetutia doa kubwa sana. Mioyo yetu tayari imeshainama na watesi wetu Mungu anawajua na atawashughulikia kama mfalme Nebugarineza
 
Pamoja na mkwala wote wa zero 'watekaji' bado wanajiachia tu! Mpaka wanamrudisha Mo hakuna aliyewastukia na huenda huu ukawa ndio mwisho wa hii filamu!
 
Yaani kelele za Lema ziwe msingi wa kupatikana Dewji lakini kelele hizo hizo zisiweze kumleta Ben Saanane? You must be joking!

Nani mwenye uhusiano wa karibu kikazi na kimaisha kati ya Lema na Ben Saanene au Dewji?

Kumbuka Ben Saanane alikuwa mfanyakazi wa CHADEMA

Ulichofanya ni kutoa shukrani ambazo hazina hata ukweli kifikra!
Pumbavu!
 
ANAONGEA HATAKI HATA KUWAANGALIA USONI WATEKAJI

ASANTENI KWA MAOMBI YENU WATANZANIA.
 
Haha bavicha bwana hivi ni kelele ndio zimemtafuta mpaka akapatikana?

Jeshi la polisi na vyombo vingine vya dola vimedhibitisha weledi wake.

Sio kila jambo mnalilia wachunguzi wa kimataifa.

Chadema mnekuwepo wakati wa vita vya Idd amini si ajabu pia mngeshauri wachunguzi wa kimataifa waje kutusaidia.

Unadhani kweli jeshi la polisi lingemleta Mo kwa namna hii? Kurejea kwa Mo si mafanikio ya Polisi!! Period! Period. Angeoneshwa mbele ya bonge la PC. Kama kukamata silaha mbili na risasi kadhaa kunakuwa na PC, vipi kuhusu Mo?!

Aibu inakubana kifua lakini ni vema ukachagua ukweli na kuheshimu utashi wako - amua kuchutama!
 
kuna ukweli. hili swala likiisha kimyakimya kama la Roma mkatoliki tutajua watekaji ni wale wale..
Ulisikia lolote zaidi ya hapa nitag mkuu. Na huu ndio mwisho wa taarifa ya habari kutoka radio San Sirrro, msomaji wenu Daudi Albert Bashite!
 
Ni kweli kabisa tunamshukuru Mwenye Mungu kwenje jambo hili, ila asipotuambua alikuwa wapi na tukio zima la kutekwa kwake lilikuaje watanzania hatuta mwelewa!
Unatekwa unapelekwa usikokujua umefungwa macho ukitoka huko unahisi ulikua kuzimu utahadithia nini?
 
Back
Top Bottom