Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

mkuu hii ransom.inanywa na mamraka halisi za inchinau mahalamia kama wale waliokuwa wakiteka meli za mafuta kule somalia? Kama mamlaka halali za nhi zinaingia huko basi hahitajiki kuwa tajiri.maana ukowa tajiri ni issue
Dah, mbona unaandika visivyoeleweka mkuu?
 
Yaani kelele za Lema ziwe msingi wa kupatikana Dewji lakini kelele hizo hizo zisiweze kumleta Ben Saanane? You must be joking!

Nani mwenye uhusiano wa karibu kikazi na kimaisha kati ya Lema na Ben Saanene au Dewji?

Kumbuka Ben Saanane alikuwa mfanyakazi wa CHADEMA

Ulichofanya ni kutoa shukrani ambazo hazina hata ukweli kifikra!
Hivi hio 7000 ndo inakufanya ujitoe ufahamu
 
Sisi tunasoma mission nyingi sana humu jamiiforum zinatufuguwa sana na kutupa upeo kwa hii ya kwetu watekaji hawakujipanga kwa mana hata kudanganya hawaezi
Waswahili husema ngoma ikivuma sana mwishowe hupasuka, Huenda wasiojulikana wako mbioni kujianika
 
wakati mwingne watu kama hawa wakitekwa ni bora mkakaa kimya tu. maana hata mkipiga kelele vip, wakirudi hawasemi ukweli.
 
Mambosasa: Taarifa siku ya tukio,waliomteka Mo ni wazungu wawili

IGP: waliomteka Mo walikuwa na gari la nchi jirani ila hakulitaja,ila wataalamu wa kufuatilia lile gari walisema ni la Msumbiji

Mo amepatikana Dar es salaam lakin si Msumbiji, wala Afrika Kusini


Baada ya kupatikana:Mambosasa: waliomteka Mo walikuwa wasouth Afrika ,walikuwa wanaongea kilugha

Unaweza ukajiuliza maswali hapa ,kichwa kikaota upara bila kupenda
Watu wawili au kumi hawawezi kudanganya UMMA wa watu Million 40 Kwa wakati mmoja
 
Umeambiwa hao waliziaga familia zao wameenda kufanya kazi nje ya nchi. Uwe unaelewa maelekezo ya viongozi wako
Wazazi wao wanawatafuta watoto wao, kama waliagwa wasingekuwa wanawatafuta.

Tatizo umasikini, nao wangetoa 1bilioni.
 
Tamthilia ijayo mwenyekiti wa kile chama na zzk lazima watashirikishwa
 
Daah..!! Watekaji ni wazungu... Watekaji wametumia namba za msumbiji... watekaji wanaongea lugha za South Africa, Viongozi wetu hamuoni utoto mnaofanya mnatugombanisha na nchi majirani zetu mlizozitaja? Hapo hapo mnasema watekaji hawajulikani, kama hawajulikani mbona mnatumia nguvu kubwa sana kutuaminisha source ya utekaji ni kutoka nje na sio ndani ya nchi? Kama watekaji hawajulikani kuna haja gani ya kutaja nchi za watu? Mnataka mtuaminishe kipi kwa utoto huu uliofanyika?
 
Yajayo yanafraisha mkuu,, Ni kuumbuka kwa kwenda mbaliiii zaidi Unajuwa kila kitu kina mwanzo na kati then mwisho
Hii ni aibu nyingne yaani dairekta wa hii muvi ni kilaza bora hata Ray kigos angetoa muvi nzuri.
 
Ukiiangalia clip wakat Mo anakaribishwa kujionyesha mbele za watu kuna mambo nimeona
1:Mo hana amani ya moyo ya kurudi huku uraian
2:Mo anahuzunika badala ya kufurahi,hafurahi kwa kuwa lipo jambo kubwa lililompata lisilomfurahisha
3:Kama ingewezekana MO angeomba hata kofia ajifunike uso wake kwa sabab hataki jamii ifahamu kilichomtokea nyuma ya pazia
4:MO haonyeshi macho yake,ukiangalia kati ya jamaa wote wanaoonekana kwenye hiyo clip,ni Mo peke yake hakunyanyua uso wake na macho yagongane na kamera
HII INAMAANISHA KUNA JAMBO KUBWA HATAKI LIONGEA MBELE ZA WAKUBWA
 
Back
Top Bottom