titimunda
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 7,571
- 9,789
Ndo lishaisha ivo sheheTunataka majibu, hamuwezi kuliweka taifa kwenye tension kubwa namna hii halafu hili jambo likaisha kirahisi hivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo lishaisha ivo sheheTunataka majibu, hamuwezi kuliweka taifa kwenye tension kubwa namna hii halafu hili jambo likaisha kirahisi hivi
Walichokosea ni kuandaa movie kwa ujumlawalimuteka wenyewe
Hii hapaMimi naisubiria katuni ya kipanya kwa hamu kubwa sana!
Nanukuu ''Gari lile lile lilomteka ndo limemrudisha Mo''
Kwahiyo gari la surf bado linatamba hapa mjini.??
Hilo ni wazo lako. Lakini mimi bado nasubiri MO atulize akili na atoe kilichomsibu. Nitasikiliza kutoka kwake kwani tukio kama hili akidanganya atakuwa anajidanganya mwenyewe. Ila nachojua kwa sasa yeye ameishukuru serikali mnayoituhumu ninyi.
Kauli ya kumshukuru tu mheshimiwa rais mm ndo inanipa shida sana aisee,
Kwann amshukuru rais? Wakati watekaji walimchukua na wamemwachia bila nguvu yeyote kutumika
Shukrani kwa raisi ni za nn hasa?
Hawa labda kwa sababu wanamiliki mediaMbona Bahresa na Mengi hawajawekeza Simba lakini wanajulikana?
Nilikuwa sijawahi kulisikia na sikujua hilo eneo(Gymkhana) lilipo.
Baada ya kupata taarifa hizi nikaingia gopgle map kuona lililopo, nikabakia mdomo wazi....
huna akili wewe unaiunganishaje chadema na mambo ya kipuuzi kama haya! kwamba katekwa na chadema? mbona huhoji kwann mambo saba anamshukuru raisi kwani raisi ni polisi? japo uliiba mitihani yako lakini kuwa na akili japo za kizaliwa mkuu! ipo siku utatoka na mavi chooni ukiulizwa utasema chama ni chademaChadema wamechukizwa mno na kupatikana kwa Mo maana kiki yao imebuna.
Shida na Matatizo yanayoipata Tanzania ndiyo ufahari wa Chadema!
Kiukweli mkuu bado tumelala, siku tukiamka dunia itakuwa imeishaGymkana pale karibu na Ikulu, Gymkana karibu na Agakhan hospital. Gymkana pale karibu na Upanga Seaview. Kiujumla eneo lile ni very sensitive sana kwa mtu kufanya Ujinga. Yaani watekaji wanamteka mtu Oysterbay/Masaki wanatembea nae msasani yote, mpaka kawe na leo wanamrudisha mpaka Gymkana..
Halafu Mkuu mmoja anasema nchi iko salama, vipi kule Tandika, Mbagala, Manzese, Mtoni, Mbezi, Mbalizi, Tunduma, kyerwa, Tukuyu watakuwa salama kweli kama mtu anatekwa sensitive area halafu watekaje wanamrudisha sensitive area..Kichwa kinauma kwakweli.
HahaaaKama kuna Ransom ilitolewa kuna haja gani ya kupongezana ilhaili watekaji wacko huru wanagida vinnywaji
Hata mm nimejiuliza hivyoHivi kulikua na haja gani ya kumshukuru Raisi wakati hajafanya kitu chochote kile wala hata kuonesha kukerwa hata kuifairji familia yake yani hata jeshi la polisi ila ukiangalia video jamaa anaonekana hakua comfortable kabisa