Huyo Lissu tayari ameshashambuliwa,hana cha kupoteza!Huyu Dewji aliwekwa chemba!Hujui ametishwa nini huko alikokuwa!Hivi suala la Zakaria lisinge bumbuluka,si tungejua ametekwa na mwahuni kumbe ni usalama walikuwa wameendq kumteka!!!!
Kuhusu kafanya nini,na kwamba kama kafanya jambo baya ni haki yake!Nikwambie tu nchi hii tumekubali kuendeshwa na mfumo wa sheria!Na katiba na sheria zinataka kila mtenda jinai afikishwe mahakamani na vyombo husika na aface trial!Mahakama ndio itaamua hukumu yake!Hilo la kusema ni haki yake,si utaratibu wetu wa kisheria!Ni uhuni!Na suala hili ni kinyume na sheria maana kama tutaruhusu haya,kuna hatari watawala kutumia mwanya huo kuangamiza wapinzani wao!!!!!!Period!