Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

HAPANA, kumbe yawezekana turudi kwa kina Azori ambao huenda wamehamia kwa wake wengine ili tujiridhishe kuwa nyumba ndogo nazo zinahusika utekaji magumashi.
Kweli yawezekana watu wanakata tamaa mapema kumbe watu wapo hai na afya zao njema kabisaa
 
Young Man,

Tiss ina vitengo vingi, na si kila mtumishi wa Tiss anafahamu oparesheni za kitengo kingine.

Mtu wa kushughulikiwa kwa sasa ni Bashite na si vinginevyo ndio kiini cha uharamia wote huu.
Ila bado ni tiss

Au sio....


Wanarepresent upumbav wa wengine
 
Ukiona kimya ndo jua wale wazungu waliomteka Roma.Ngoja tuone movie sijui watapata wapi Mzungu wa kweli wa kucheza kipande cha mahakamani kilichobakia.
Nimekuelewa. Kwa kuwa walishazingirwa, maana yake walishajulikana walipo. Tusubiri vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vikiwapafikisha katika Mahakama ya Kisutu.
Vinginevyo, viwaombe radhi Watanzania, na hususan Mo na familia yake ama kwa kushindwa kuwatia nguvuni Watesi wa Mo huku wakiwajua, au kwa kushindwa kuwajua Watesi hao kutokana na uduni na udhaifu wa taaluma ya upelelezi huku wakikataa msaada toka nje!
 
Watu wasiojulikana
Walianza Kumteka Ben sa 8
Wakafwata kwa Tundu Lisuu
Wakaja kwa Roma
Wakaja kwa waandishi wa habari
Watu wasioujulikana wakendelea na hatakati zao
Mara paaaap wakamfwata Mo
Marapaaaaap watu wasiojulikana wakamrudisha Mo na gari lile walilomtekea tena wakimuacha sehemu nyeti usiki ambayo kwa usiku ile sehemu huwezi hata kupita kizembe maana kuna mamwela wa hatari l.
Watu wasiojulikana kwanini mnaendelea kutusumbua akili za watanzania.
Watu wasiojulikana kwanini mnaumiza vichwa vyetu.
Watu wasiojulikana mtuache wajameniiiii
Usiku ule magari yote ya doria usiku hawakuiona ile surf? Tena ya mfanano uleule
 
Habari wana jf,
Kichwa cha Habari chahusika Kwanza nitoe pongezi kwa jeshi la police kwa kufanikiwa kumrudisha MO akiwa hai na bila shaka yoyote juhudi kubwa zimefanyika mpaka akapatikana.
Binafs naomba niende moja kwa moja kwenye hoja yangu hivi kwa utajiri alionao MO ni sawa kisheria kutembea bila ulinzi!??? Nawaza Sana bila kupata majibu ila mara nyingi nimekuwa nikisikia kuwa jukumu la ulinzi linaanza na sisi raia wenyewe na mara kadhaa wamekuwa wakitutaka Kama tunataka kuchukua pesa ambazo ni nyingi kiasi basi tuende kutoa taarifa nao watatupa ulinzi.!!
Kwa utajiri alionao MO sidhani Kama si kosa kutembea bila ulinzi. Wakuu wenye ujuzi wa sheria naomba msaada wenu.
Nawasilisha
Kwa maelezo ya Sirro jana, Mo ana manati ya mzungu na pia ana dereva. Siku anatekwa hakuwa ma vyote.
 
Sasa naamini kuwa Ben Saanane na Azory Gwanda wameshikiliwa kwenye moja ya mahabusu za watekaji, watesaji magangster hovyo hovyo wasio na akili wanaojificha kwenye mwamvuli wa ulevi wa madaraka!
 
Asee nchi hii inakoelekea tutakuwa na vijana wa hovyo kbs ...hili ndo jambo la kumsifia lema !!!..amesababishaje sasa kurudi kwa Mo?!!
 
Ni mwisho wa muvi watu wanafungasha vifaa vyao waweze kuondoka location hiyo wakasikilizie upepo.
 
Huyo Lissu tayari ameshashambuliwa,hana cha kupoteza!Huyu Dewji aliwekwa chemba!Hujui ametishwa nini huko alikokuwa!Hivi suala la Zakaria lisinge bumbuluka,si tungejua ametekwa na mwahuni kumbe ni usalama walikuwa wameendq kumteka!!!!
Kuhusu kafanya nini,na kwamba kama kafanya jambo baya ni haki yake!Nikwambie tu nchi hii tumekubali kuendeshwa na mfumo wa sheria!Na katiba na sheria zinataka kila mtenda jinai afikishwe mahakamani na vyombo husika na aface trial!Mahakama ndio itaamua hukumu yake!Hilo la kusema ni haki yake,si utaratibu wetu wa kisheria!Ni uhuni!Na suala hili ni kinyume na sheria maana kama tutaruhusu haya,kuna hatari watawala kutumia mwanya huo kuangamiza wapinzani wao!!!!!!Period!
Wanaotekwa na kuachiwa ni wengi. Huyu imefahamika kutokana na mazingira na eneo pia.

Hivi mnafahamu pia kuwa na yule boss wa kampuni ya madini mwakajana naye alitekwa na hao watu akiwa uwanja wa ndege Songwi na kuachiwa siku ya pili?

Yeye aliachiwa mapema kwa sababu kwanza ilifahamika waliomteka, na pili ni hatua za wakubwa wa dunia walizochukua na kuwasiliana na mamlaka za juu kabisa.

Jueni hii ndiyo style mpya. Na kila mtu ajue hakuna aliye salama. Uwe Sisiemu au cdm au hufungamani na yeyote.

Ukiamua kuupenda uchafu, uikubali na harufu yake.
 
MFANYABIASHARA MAARUFU MOHAMMED DEWJI APATIKANA AKIWA HAI

Amepatikana akiwa ametelekezwa kwenye viwanja vya Gymkhana

Baada ya kutekwa, Gari la watekaji liliendeshwa kwa kasi sana na kwenda kuwekwa kwenye chumba akiwa amefunikwa uso

Inasemakana watekaji walikuwa wakiongea lugha inayoonekana kuwa ni ya Afrika Kusini

View attachment 904322
View attachment 904323




Mkuu huu muda ulikuwa wapi wakati sisi tunapigana kuongeza watu duniani?
 
Hizi movie za wazungu wasukuma zitapiku za Hollywood aisee!
Screenshot_2018-10-20-10-09-01.jpeg
 
Nasema tena narudia, bila kelele za Mb. Mh. Lema, Mo Dewji asingelipatikana. Kelele za Lema zimesadia. Ile press ilikuwa na impact kubwa sana. Pia Zito alitweet kuwa Siro anajua alipo Mo. Press ya jana ya Siro na maswali yaliyoibuliwa na hotuba yake yameibua irresistible conclusion kuwa SIRO anajua alio Mo Dewji (by Zito Kabwe)
Bangi mbaya
 
cha kushangaza watanzania hawa unaowashukuru kukuombea na kupiga kelele uachiwe, hutawaambia aliyekuteka. na kesho mwingne yakimtokea ww utakaa kimya as if hukuwahi kupatwa na mkasa huo. yale yale ya roma mkatoliki
Ukiona hivo jua watekaji ni wazungu
 
Wanaotekwa na kuachiwa ni wengi. Huyu imefahamika kutokana na mazingira na eneo pia.

Hivi mnafahamu pia kuwa na yule boss wa kampuni ya madini mwakajana naye alitekwa na hao watu akiwa uwanja wa ndege Songwi na kuachiwa siku ya pili?

Yeye aliachiwa mapema kwa sababu kwanza ilifahamika waliomteka, na pili ni hatua za wakubwa wa dunia walizochukua na kuwasiliana na mamlaka za juu kabisa.

Jueni hii ndiyo style mpya. Na kila mtu ajue hakuna aliye salama. Uwe Sisiemu au cdm au hufungamani na yeyote.

Ukiamua kuupenda uchafu, uikubali na harufu yake.
Watekaji wawe wema wampe na simu kupiga nyumbani?Wawe wema wamrudishe na gari walilomteka nalo huku picha za gari zikiwa zimesambaa?Wawe wema wamlazimishe na kula?Wawe wema wampe taarifa kuwa JPM anafanya jitihada za kukutafuta?(maana cha kwanza alipofika nyumbani amemshukuru rais na jeshi)!

Kuna utata mwingi!
 
Nasema tena narudia, bila kelele za Mb. Mh. Lema, Mo Dewji asingelipatikana. Kelele za Lema zimesadia. Ile press ilikuwa na impact kubwa sana. Pia Zito alitweet kuwa Siro anajua alipo Mo. Press ya jana ya Siro na maswali yaliyoibuliwa na hotuba yake yameibua irresistible conclusion kuwa SIRO anajua alio Mo Dewji (by Zito Kabwe)
Kuna watu wasiozidi kumi nchini ni watu jasiri na ujasiri wao hautokani ni ulevi wowote ikiwa ni wa pombe, dawa au rushwa. Ujasiri wa namna hii ya maslahi binafsi hata fisi anao kama akivutishwa bangi ila utakuwa ni wa mda wa kile kilevi.
Wajasiri hawa wa nchi kwa sasa kuna
1 Lissu
2 lema
3 Zitto
4...
5...
10...
Mungu wabariki watu hawa na walinde kama ulivyomlinda Lissu.
 
Hivi huyu waziri alivyotekwa tu alikuwa wa kwanza kutuambia kaongea na babake, leo usiku huu ni yeye kawa wa kwanza kutuambia kaongea nae! Mo hakuwa kwa mjomba wake ati yuko nyumbani kwake salama! Alitakiwa awe kituo cha police kuisaidia maelezo, then hosipitali then jeshi lireport yuko salama. Huwezi kutoweka, au kotoweshwa then ukarudi au kurudishwa nyumbani ikaishia hapo. Ngoja kukuche.
Mo akàfanyiwe toxicological evaluation hayuko salama. Pia ameathirika sana kisaikolojia hata kwa mwonekano tu.

Watekaji( rogue elements) walimnyoosha kweli kweli, walitaka kumwonesha kuwa yeye Mo anapesa ila wao wana mamlaka.

Mateso aliyopata yanaweza kuwa siyo phsysical damage lkn yakawa ni severely psychoscially devarstating
 
Back
Top Bottom