Nelson nely
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 4,251
- 2,869
Stelingi kafa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha ushamba wa jiwe utamcost siku moja
Cover story hapa itakuwa ni nini ? Maana hata mtoto mdogo anajua Mo alichukuliwa na kina nani .
Halafu watu wa aina hii ndio wakakae meza Moja na kina Prof Thontorn wa Barrick tutegemee kulipwa na Accasia matrilioni ??
Tutakesha tukisiburia hilo
CountrymanDah! Tumefika mbali sana. Ila nimeamini ushamba ni mbaya sana. Hata upewe nafasi gani bado utafanya mambo yako kishambashamba tu! Ivi neno mshamba kwa kiingereza linaitwaje? Thanks God Mo is back
Hakuna nchi yenye wanasiasa uchwara kama Tanzania. Naapa uongozi wa upinzani tulionao ni pangu pakavu tia mchuzi. Wameishiwa hoja wanaokoteza kila takataka wanayoona mbele yao. Ni watu wa hatari sana kuongoza Tanzania hata kwa dakika tano. Nimeanza kuona umuhimu wa kuhakikisha hawashindi hata jimbo moja kwenye uchaguzi.Kila kukicha kulikuwa kukitokea kwenye tweeter, fb, na makundi ya WhatsApp wakilioanisha tukio hili la aibu kwa nchi kama kiki ya kisiasa wakijaribu kulidhalilisha jeshi la polisi na serikali ya awamu ya 5 kana kwamba imeshindwa kulinda amani. Mungu amewaumbua, Mo karibu nyumbani ukiwa Salama salimini
Hahahaha ushamba wa jiwe utamcost siku moja
Cover story hapa itakuwa ni nini ? Maana hata mtoto mdogo anajua Mo alichukuliwa na kina nani .
Halafu watu wa aina hii ndio wakakae meza Moja na kina Prof Thontorn wa Barrick tutegemee kulipwa na Accasia matrilioni ??
Tutakesha tukisiburia hilo
Indeed. I keep asking myself what exactly they were aiming to achieve here and dont see it.Uko sahihi kabisa. Tatizo kubwa la kina jiwe ni ushamba (they are not streetwise). Hata kama wana nia njema, they are simply clueless.
unajuaje kama hawajachukua ransom?,kutakuwa na makubaliano wamefanya ambayo ni siri yao.Mungu mkubwa.
Ila siwaelewi hawa watekaji dhumuni lao ni nini haswa. No ramson, no nothing! Or is it to instill terror to the public?
Alafu eti boss wa tiss ni Dr. MchungajiKwanzia leo nawadharau
Tiss , nadhani ni watu washamba sana
Kwa kufanya huu upumbavu ..
Nisingekubal mm niwe director wa tiss
Hafu umavi umav huu unafanyika
Ni hollolical shit ... Tiss badiliken
Kuna vijana walitaman sana kuja kufanya kazi huko na ni wazalendo wa kweli ...
Ila hawatak ... Coz hawana njaa..
Na pia vitu mnavyofanya ni stupidity
Mtu anakwambia kabsa nkatumiwe na tiss kufanya upumbavu ...
Nooo
Hakuna taasisi yoyote ile point ya msingi mchango wa Raisi ulikua ni upi wakati hajatoa pole wala neno lolote lile la faraja au hata kuamrisha watu wake wampate haraka iwezekanavyorais ni taasisi
Ni kweli anamshukuru kwa kulazimisha mtesi wake daah aisee huyu jamaa ni kiongozi wa ajabu sana yani hata ile PhD yake ya korosho nadhani alipewa tuUkiangalia Mo unajua kabisa kuna maneno alipewa mdomoni. Zile shukrani zake nilivyozisikia tu nikajua.
Mataifà yaliyostaarabika ikitokea sintofahamu yoyote rais kama amiri jeshi mkuu anatoa tamko la kimwongozo kwa jeshi lake.Hakuna taasisi yoyote ile point ya msingi mchango wa Raisi ulikua ni upi wakati hajatoa pole wala neno lolote lile la faraja au hata kuamrisha watu wake wampate haraka iwezekanavyo
hahaa na walikataa kumpa dhamana kwa kuhofia usalama wake maana watekaji bado wapo mtaani,hapo hapo ana kesi ya kujiteka.sijui ni nani anawandikia script za hizi movie...Inashangaza sana MO kutoka mikononi mwa watekaji halafu akapewa na simu ya kuwasiliana na ndugu zake baada ya kuachiwa.
Halafu imekuwaje mpaka sasa aendelee kuwa nyumbani wakati ndo kwanza katoka kutekwa, nadhani alitakiwa akamatwe kama Abdul Nondo akahojiwe aisaidie polisi.
Ttrend ya kuteka wafanyabiashara INA nadharia mbiliIndeed. I keep asking myself what exactly they were aiming to achieve here and dont see it.
Kama si sheria za Jf leo wangekula matusi hadi washibe Nchi inaongozwa na mtu anayejiita jiwe hovyo sana!Alafu eti boss wa tiss ni Dr. Mchungaji
Hopeless! shubamiti!.%&#%*axv.*****!
Primitive.Dah! Tumefika mbali sana. Ila nimeamini ushamba ni mbaya sana. Hata upewe nafasi gani bado utafanya mambo yako kishambashamba tu! Ivi neno mshamba kwa kiingereza linaitwaje? Thanks God Mo is back
Wewe jaribu kuficha ujuha wako huo ujinga wako baki nao huko gheto kwa Le mutuz mnapofundishana Upumbavu, kiki kivipi? Kiki inakujaje hapo? Kazi ya upinzani ni kuikosoa Serikali ulitaka wapinzani wakae kimya? Maana ya kiki umeipotosha hujui maana ya kiki wewe kilaza tambua kuwa kisingizio chako cha kiki sio kigezo cha kuzuia watanzania kupiga kelele juu ya upotevu wa MO ambaye muliteka wenyewe na sasa mmeogopa kelele za wananchi na Alibadiri mkaamue kumrejesha bila aibu, mungu kamuumbua nani? Mungu kawaumbua nyinyi muliokuwa mmemficha gheto mkitaka kufanya blackmailKila kukicha kulikuwa kukitokea kwenye tweeter, fb, na makundi ya WhatsApp wakilioanisha tukio hili la aibu kwa nchi kama kiki ya kisiasa wakijaribu kulidhalilisha jeshi la polisi na serikali ya awamu ya 5 kana kwamba imeshindwa kulinda amani. Mungu amewaumbua, Mo karibu nyumbani ukiwa Salama salimini