Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Hahahaha ushamba wa jiwe utamcost siku moja

Cover story hapa itakuwa ni nini ? Maana hata mtoto mdogo anajua Mo alichukuliwa na kina nani .

Halafu watu wa aina hii ndio wakakae meza Moja na kina Prof Thontorn wa Barrick tutegemee kulipwa na Accasia matrilioni ??

Tutakesha tukisiburia hilo

Uko sahihi kabisa. Tatizo kubwa la kina jiwe ni ushamba (they are not streetwise). Hata kama wana nia njema, they are simply clueless.
 
Dah! Tumefika mbali sana. Ila nimeamini ushamba ni mbaya sana. Hata upewe nafasi gani bado utafanya mambo yako kishambashamba tu! Ivi neno mshamba kwa kiingereza linaitwaje? Thanks God Mo is back
Countryman
 
Kila kukicha kulikuwa kukitokea kwenye tweeter, fb, na makundi ya WhatsApp wakilioanisha tukio hili la aibu kwa nchi kama kiki ya kisiasa wakijaribu kulidhalilisha jeshi la polisi na serikali ya awamu ya 5 kana kwamba imeshindwa kulinda amani. Mungu amewaumbua, Mo karibu nyumbani ukiwa Salama salimini
Hakuna nchi yenye wanasiasa uchwara kama Tanzania. Naapa uongozi wa upinzani tulionao ni pangu pakavu tia mchuzi. Wameishiwa hoja wanaokoteza kila takataka wanayoona mbele yao. Ni watu wa hatari sana kuongoza Tanzania hata kwa dakika tano. Nimeanza kuona umuhimu wa kuhakikisha hawashindi hata jimbo moja kwenye uchaguzi.
 
Hahahaha ushamba wa jiwe utamcost siku moja

Cover story hapa itakuwa ni nini ? Maana hata mtoto mdogo anajua Mo alichukuliwa na kina nani .

Halafu watu wa aina hii ndio wakakae meza Moja na kina Prof Thontorn wa Barrick tutegemee kulipwa na Accasia matrilioni ??

Tutakesha tukisiburia hilo

Uko sahihi kabisa. Tatizo kubwa la kina jiwe ni ushamba (they are not streetwise). Hata kama wana nia njema, they are simply clueless.
 
Kwanzia leo nawadharau

Tiss , nadhani ni watu washamba sana

Kwa kufanya huu upumbavu ..

Nisingekubal mm niwe director wa tiss

Hafu umavi umav huu unafanyika

Ni hollolical shit ... Tiss badiliken

Kuna vijana walitaman sana kuja kufanya kazi huko na ni wazalendo wa kweli ...

Ila hawatak ... Coz hawana njaa..

Na pia vitu mnavyofanya ni stupidity

Mtu anakwambia kabsa nkatumiwe na tiss kufanya upumbavu ...

Nooo
Alafu eti boss wa tiss ni Dr. Mchungaji
Hopeless! shubamiti!.%&#%*axv.*****!
 
rais ni taasisi
Hakuna taasisi yoyote ile point ya msingi mchango wa Raisi ulikua ni upi wakati hajatoa pole wala neno lolote lile la faraja au hata kuamrisha watu wake wampate haraka iwezekanavyo
 
Ukiangalia Mo unajua kabisa kuna maneno alipewa mdomoni. Zile shukrani zake nilivyozisikia tu nikajua.
Ni kweli anamshukuru kwa kulazimisha mtesi wake daah aisee huyu jamaa ni kiongozi wa ajabu sana yani hata ile PhD yake ya korosho nadhani alipewa tu
 
Hakuna taasisi yoyote ile point ya msingi mchango wa Raisi ulikua ni upi wakati hajatoa pole wala neno lolote lile la faraja au hata kuamrisha watu wake wampate haraka iwezekanavyo
Mataifà yaliyostaarabika ikitokea sintofahamu yoyote rais kama amiri jeshi mkuu anatoa tamko la kimwongozo kwa jeshi lake.
 
Inashangaza sana MO kutoka mikononi mwa watekaji halafu akapewa na simu ya kuwasiliana na ndugu zake baada ya kuachiwa.

Halafu imekuwaje mpaka sasa aendelee kuwa nyumbani wakati ndo kwanza katoka kutekwa, nadhani alitakiwa akamatwe kama Abdul Nondo akahojiwe aisaidie polisi.
hahaa na walikataa kumpa dhamana kwa kuhofia usalama wake maana watekaji bado wapo mtaani,hapo hapo ana kesi ya kujiteka.sijui ni nani anawandikia script za hizi movie...
 
Itakuwa walilipwa hela maana uhai ni muhimu sana hela inatafutwa tu ukiwa hai
 
Indeed. I keep asking myself what exactly they were aiming to achieve here and dont see it.
Ttrend ya kuteka wafanyabiashara INA nadharia mbili
1. Wapo Takukuru, wanaitumia hii kuwablackmail watuhumiwa ili wapewe mgao wao alafu waandae mashitaka hewa, wanashirikiana na polisi na Tisss

2. Kkuna kitengo ndani ya Tisss rogue element)kwa akili ya kulinda madakaka, kazi yao ni kucreate terror kwa wafanyabiashara ili kussurrender Mali walizopata kinyume na taratibu wakati ule wa privatazation
 
Alafu eti boss wa tiss ni Dr. Mchungaji
Hopeless! shubamiti!.%&#%*axv.*****!
Kama si sheria za Jf leo wangekula matusi hadi washibe Nchi inaongozwa na mtu anayejiita jiwe hovyo sana!
 
Dah! Tumefika mbali sana. Ila nimeamini ushamba ni mbaya sana. Hata upewe nafasi gani bado utafanya mambo yako kishambashamba tu! Ivi neno mshamba kwa kiingereza linaitwaje? Thanks God Mo is back
Primitive.
 
Kila kukicha kulikuwa kukitokea kwenye tweeter, fb, na makundi ya WhatsApp wakilioanisha tukio hili la aibu kwa nchi kama kiki ya kisiasa wakijaribu kulidhalilisha jeshi la polisi na serikali ya awamu ya 5 kana kwamba imeshindwa kulinda amani. Mungu amewaumbua, Mo karibu nyumbani ukiwa Salama salimini
Wewe jaribu kuficha ujuha wako huo ujinga wako baki nao huko gheto kwa Le mutuz mnapofundishana Upumbavu, kiki kivipi? Kiki inakujaje hapo? Kazi ya upinzani ni kuikosoa Serikali ulitaka wapinzani wakae kimya? Maana ya kiki umeipotosha hujui maana ya kiki wewe kilaza tambua kuwa kisingizio chako cha kiki sio kigezo cha kuzuia watanzania kupiga kelele juu ya upotevu wa MO ambaye muliteka wenyewe na sasa mmeogopa kelele za wananchi na Alibadiri mkaamue kumrejesha bila aibu, mungu kamuumbua nani? Mungu kawaumbua nyinyi muliokuwa mmemficha gheto mkitaka kufanya blackmail
 
Back
Top Bottom