casanova69
JF-Expert Member
- Sep 14, 2015
- 2,361
- 2,166
sifa zote zinaenda kwa John...Kauli ya kumshukuru tu mheshimiwa rais mm ndo inanipa shida sana aisee,
Kwann amshukuru rais? Wakati watekaji walimchukua na wamemwachia bila nguvu yeyote kutumika
Shukrani kwa raisi ni za nn hasa?