Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Kauli ya kumshukuru tu mheshimiwa rais mm ndo inanipa shida sana aisee,

Kwann amshukuru rais? Wakati watekaji walimchukua na wamemwachia bila nguvu yeyote kutumika

Shukrani kwa raisi ni za nn hasa?
sifa zote zinaenda kwa John...
 
Hakuna taasisi yoyote ile point ya msingi mchango wa Raisi ulikua ni upi wakati hajatoa pole wala neno lolote lile la faraja au hata kuamrisha watu wake wampate haraka iwezekanavyo
Una safari ndefu sana katika kufikiri sawasawa.
Anyway kwa vile ni social forum endelea kutapika bila ushirikiano na ubongo...!!
 
Nimefurahi sana Mo kurudi salama,shukrani kwa wote waliofanikisha kurudi kwake na Mungu aendelee kumlinda na kulinda watu wote daima.
 
Tukitaka siku tuitwe watanzania wote central tuwekwe ndani basi apotee beans Daudi... Watakuja CIA hadi FBI
 
Kuna watu wajinga wamelitafasiri neno kiki kuwa Kinyume na maana yake harisi, Vilaza waliopo CCM na kwingineko Tanganyika. Zanzibar na kwingineko Duniani wanafaa watambue kuwa kukataa Uonevu na unyanyasaji, unyama wa CCM sio kusaka kiki, wakitaka kupepuka yote waache unyanyasaji kwa wapinzani na mambo ya hovyo hovyo kwa wananchi wa Tanzania.
 
Kila kukicha kulikuwa kukitokea kwenye tweeter, fb, na makundi ya WhatsApp wakilioanisha tukio hili la aibu kwa nchi kama kiki ya kisiasa wakijaribu kulidhalilisha jeshi la polisi na serikali ya awamu ya 5 kana kwamba imeshindwa kulinda amani. Mungu amewaumbua, Mo karibu nyumbani ukiwa Salama salimini

Musiba na Le mutuz leo watakuteka wewe kwa kuleta mada ambayo haina nguvu
 
Kila kukicha kulikuwa kukitokea kwenye tweeter, fb, na makundi ya WhatsApp wakilioanisha tukio hili la aibu kwa nchi kama kiki ya kisiasa wakijaribu kulidhalilisha jeshi la polisi na serikali ya awamu ya 5 kana kwamba imeshindwa kulinda amani. Mungu amewaumbua, Mo karibu nyumbani ukiwa Salama salimini
Wameumbuka ccm ,maana hamna hata alieshtuka kutekwa kwa Mtanzania mwenzetu,, leo nimeamini kumbe ccm haina huruma wala haipo kwajili ya wananchi wake ,, yaani hamna hata mbunge au kiongozi wa ccm alieonyeshwa kushtushwa aisee,,hata mwenyekiti wenu,,, hakika wanaoishangilia ccm inaitaji wakapimwe akili,
 
Umepagawa? Nimeandika kuwa kazi ya upinzani siyo kukosoa? Inaonekana wewe ni mmoja wa hawa vilaza wa upinzani na ndiyo maana hamtafanikiwa!

Acha ushamba wapinzani wanafanikiwa sana ndiyo maana nyinyi mbumbu kutwa mnatumia pesa za umma pesa za walipa kodi kuwanunua madiwani, wabunge, kuhujumu upinzani kurudia chaguzi kwa gharama kubwa huku mtukufu kazuia mikutano ya Siasa, kama upinzani hauna nguvu waachie wafanye siasa kwa Uhuru pasipo kuwabambikia kesi kuwadhoofisha wala kuwaibia kura muone kama CCM hawajawa kama chama cha upinzani kama KANU ya kenya.
 
Kutoweza kuzuia wanajeshi wako wasiasi ni udhaifu.Kamanda mzuri ni yule anaye-recruit wanajeshi wenye nidhamu na hawaasi hata wakishawishiwa.
 
Inaelekea kile chombo kilichoripotiwa na nyumbu kikizamia bahari ya Hindi kilipats pancha imebidi wamrudishe tu.Ila IGP sasa mjifunze , kutoa taarifa za upelelezi inasaidia, sasa lile gari halina mwenyewe nalo,litatelekezwa parking ya NSSF.
Aah nilikosea kidogo. Gari wamelikuta Gymkana limekataa kuwaka moto
 
Back
Top Bottom